Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 8,227
- 14,194
Wanaweza kuwa na uwezo lakini hakuna vifaa hakuna dawa baada ya miaka 50+ ya Uhuru ndani ya chama cha wanyang'anyi. Unauliza jibu mbona ninyi wenyewe mnaenda IndiaMwanahabari Huru Mnataka kutuambia Muhimbili hawana " uwezo " au ni nini mnachotaka kutuaminisha?.....Chadema kuweni wazalendo bhana!!