Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,913
- 133,926
View: https://youtu.be/_X_QgulWKlM?si=kz5G6jk79XVRX1R8
Safari hii hatutaki comed, tunataka uchaguzi kweli. Wewe Yanga unaenda kwenye match dhidi ya Simba ambayo refa na jopo lake lote wameteuliwa na Simba? Hayo ni matumizi ya akili kweli?
Hao CCM wanataka mgombea kama Membe (RIP) uje jukwaani jukwaani upige porojo kuwaaminisha watu utashinda.
Shikilia hapo hapo. Sisi wazalendo wa kweli tupo nyuma yako