Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

Hajui hata katiba ya CHADEMA chama chake sembuse sheria ya nchi? Unapigwa risasi kwa mizengwe unashindwa kuyasoma mazingira?? Risasi inapigwa kulia unaumia kushoto? Then unajiita mwanasheria nguli hujui hata kuchambua mambo??
Yani unaongea utumbo hadi wale wajinga wa humu wamefurahi kuongeza idadi. Hopeless.
 
Tuanzie hapo. Hivi huyo Kabudi kishaleta vile vyeti au bado kameza pini Bashite style.
 
Afu mleta mada ukome kumfananisha MH. LISSU na vitu vya hovyo vinavyomilikiwa na JIWE NYAMBAFU
 
Lissu ni mropokaji na mpiga kelele tu hajui lolote kinacho mbeba ni kwamba wananchi wanahamu kubwa ya mabadiliko ya kiuchumi na kiutawala.
Toa mifano hai kuezea hoja yako, sio unakuja na porojo nyepesi kiasi hiki. Tl asingekuwa mkali na tishio asingepigwa marisasi kiasi kile.
 
Pumba tupu
 
Katiba haisomwi kwa vipande vipande. Isome Katiba yote, na utagundua kuwa Rais ni part ya bunge. Sheria haziwezi kutungwa bila Rais kuhusika. Huo ndiyo ukweli.
Kuingia tu bungeni ni shughuli halafu bado unaandika hoja zako mfu uwe unaangalia na vi post vya kipuuzi unavyopost jaribu kukua kidogo
 

Wacha uzwazwa weye; usimlinganishe Lissu na vitu vya kijinga!
Kubwa zaidi kwa Lissu pamoja na kuijua sheria nje ndani ni kwamba anajenga hoja kubwa na kusimamia anachokiamini hata kama ni kuuweka uhai wake mhanga!!! sio huyo kinyonga mchumia tumbo!
Hivi unaweza kuaamini Kabudi waziri ndiye Kabudi wa Tume ya warioba?! Au una kichaa kichaa wewe?!
 
Kuingia tu bungeni ni shughuli halafu bado unaandika hoja zako mfu uwe unaangalia na vi post vya kipuuzi unavyopost jaribu kukua kidogo
Narrow minded. Ikulu is part ya sehemu ya kutunga sheria (bunge) kwa wenye akili pana.
 
Mkuu mgogo anaingiaje tena mbna unaturudisha nyuma mambo ya ukabila
Kumbuka unaongea na mfuasi wa lissu, na lissu ndiye mfukua makaburi ya ukabila kwenye zama hizi mpya. Usishangae mfuasi wa ibilisi kufanana na shetani.
 
Kabudi aliisoma kwa kuangalia ..mwenzake lissu aliisoma kwa kuona .

Umri wa Lissu na uwezo wake wa Sheria..HUWEZI kaa nakufikiria uulinganishe na KABUDI .

Lissu nikitu kingine ndomaana mnapenda hata aaimie uko.

Hivi hakuna mashindano ya ubishi duniani? Lissu tukimpeleka lazima arudi nyumbani na kikombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…