Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,169
- 48,451
Watoto wa siku hizi bwana. Sasa Nimrodi Mkono ndiye "Advocate mukono"? Halafu kweli mambo ya Nimrod ndiyo mpaka ku-google!! Inashangaza sana!!Nimrod mkono...aya sasa nenda google
Watoto wa siku hizi bwana. Sasa Nimrodi Mkono ndiye "Advocate mukono"? Halafu kweli mambo ya Nimrod ndiyo mpaka ku-google!! Inashangaza sana!!Nimrod mkono...aya sasa nenda google
Yani unaongea utumbo hadi wale wajinga wa humu wamefurahi kuongeza idadi. Hopeless.Hajui hata katiba ya CHADEMA chama chake sembuse sheria ya nchi? Unapigwa risasi kwa mizengwe unashindwa kuyasoma mazingira?? Risasi inapigwa kulia unaumia kushoto? Then unajiita mwanasheria nguli hujui hata kuchambua mambo??
Yeah, I went and came back. The devil let me come back to see how the traitor of our nation is doing.Heard you got shot and went to hell,
So how's the devil doing ???
JF imefika hadi huko ??
Kids, teh teh teh teh....
Toa mifano hai kuezea hoja yako, sio unakuja na porojo nyepesi kiasi hiki. Tl asingekuwa mkali na tishio asingepigwa marisasi kiasi kile.Lissu ni mropokaji na mpiga kelele tu hajui lolote kinacho mbeba ni kwamba wananchi wanahamu kubwa ya mabadiliko ya kiuchumi na kiutawala.
Pumba tupuHivi mbona uelewa wako ni mdogo kiasi hicho. Bado hujaelewa tu nilichoandika hapo? Kwamba sheria zote zinazotungwa nchini ni lazima rais ahusika. Kwamba bunge haliwezi kutunga sheria ye yote bila rais kuhusika. Miswaada yote inayotungwa/kupitishwa na bunge ni lazima ilidhiwe (assent) na kusainiwa na rais ndipo inakuwa sheria. Bila ya kuridhiwa na rais misuada hiyo haiwezi kuwa sheria. Hizo ndizo a, b, c, za kutunga sheria. Wewe baki na hizo a, e, i, o, u zako.
Katiba haisomwi kwa vipande vipande. Isome Katiba yote, na utagundua kuwa Rais ni part ya bunge. Sheria haziwezi kutungwa bila Rais kuhusika. Huo ndiyo ukweli.Pumba tupuView attachment 867567
Kuingia tu bungeni ni shughuli halafu bado unaandika hoja zako mfu uwe unaangalia na vi post vya kipuuzi unavyopost jaribu kukua kidogoKatiba haisomwi kwa vipande vipande. Isome Katiba yote, na utagundua kuwa Rais ni part ya bunge. Sheria haziwezi kutungwa bila Rais kuhusika. Huo ndiyo ukweli.
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Narrow minded. Ikulu is part ya sehemu ya kutunga sheria (bunge) kwa wenye akili pana.Kuingia tu bungeni ni shughuli halafu bado unaandika hoja zako mfu uwe unaangalia na vi post vya kipuuzi unavyopost jaribu kukua kidogo
Traitor, and who's that ???Yeah, I went and came back. The devil let me come back to see how the traitor of our nation is doing.
NdoomaanaKabudi aliisoma kwa kuangalia ..mwenzake lissu aliisoma kwa kuona .
Umri wa Lissu na uwezo wake wa Sheria..HUWEZI kaa nakufikiria uulinganishe na KABUDI .
Lissu nikitu kingine ndomaana mnapenda hata aaimie uko.

Kumbuka unaongea na mfuasi wa lissu, na lissu ndiye mfukua makaburi ya ukabila kwenye zama hizi mpya. Usishangae mfuasi wa ibilisi kufanana na shetani.Mkuu mgogo anaingiaje tena mbna unaturudisha nyuma mambo ya ukabila
SureCorrect!
Kabudi aliisoma kwa kuangalia ..mwenzake lissu aliisoma kwa kuona .
Umri wa Lissu na uwezo wake wa Sheria..HUWEZI kaa nakufikiria uulinganishe na KABUDI .
Lissu nikitu kingine ndomaana mnapenda hata aaimie uko.