britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,191
- 41,696
- Thread starter
- #341
HahahaHivi hakuna mashindano ya ubishi duniani? Lissu tukimpeleka lazima arudi nyumbani na kikombe.

Ila nasikia kabudi hana law school....alifailNaanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Tokea ulivyoleta mada hii, tumeona mengi tumesikia mengi. So far, Prof. Kabudi amefaulu kuonesha zaidi mapungufu yake, tokea alipoanzia juu ya kilele cha mlima kilimanjaro, ambapo watu wa CCM walifurahi kumpata "kiboko" ya Lissu baada ya Lissu kuwa amewapelekesha sana. Iliwauma sana CCM pale Spika Anna Makinda alipojenga "Chemistry" na Upinzani kwa ujumla, na kwa Lissu ilikuwa anapata msaada wa mambo ya kisheria. Mwanasheria Mkuu wa Serikali aliwekwa kando, na bingwa wa sheria mwingine, Andrew Chenge, akawa anathibitisha kwamba "Lissu yuko sahihi". Kwa Anna Makinda ilikuwa ni kutumia "resources za Bunge", lakini kwa watu wa CCM ilikuwa ni "aibu" kupata msaada wa Lissu.Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Umeongea vyemaTokea ulivyoleta mada hii, tumeona mengi tumesikia mengi. So far, Prof. Kabudi amefaulu kuonesha zaidi mapungufu yake, tokea alipoanzia juu ya kilele cha mlima kilimanjaro, ambapo watu wa CCM walifurahi kumpata "kiboko" ya Lissu baada ya Lissu kuwa amewapelekesha sana. Iliwauma sana CCM pale Spika Anna Makinda alipojenga "Chemistry" na Upinzani kwa ujumla, na kwa Lissu ilikuwa anapata msaada wa mambo ya kisheria. Mwanasheria Mkuu wa Serikali aliwekwa kando, na bingwa wa sheria mwingine, Andrew Chenge, akawa anathibitisha kwamba "Lissu yuko sahihi". Kwa Anna Makinda ilikuwa ni kutumia "resources za Bunge", lakini kwa watu wa CCM ilikuwa ni "aibu" kupata msaada wa Lissu.
Baada ya kumleta Naibu Spika mwanasheria Tulia Ackson, na Waziri wa Sheria Profesa Kabudi, Watu wa CCM waliona sasa wakati wa "kumsujudia" Lissu umekwisha na ni wakati wa "kuwakomesha" wapinzani na Lissu wao.
So far Kabudi ameshindwa kuishi matarajio hayo. Licha ya kutoa macho sana anapoongea ili kuwatisha watu, kimsingi hana cha pekee. si kwamba Kabudi ni mbumbumbu, hapana, ni Profesa wa Sheria! Ila shida yake ni kwamba anayo kazi kubwa sana ya kubeba machafu ya serikali ya CCM. Kuna tofauti kubwa ya Kabudi wa Tume ya Katiba ya Warioba, na Kabudi Waziri wa Sheria. hata Lissu ukifaulu kumtoa upinzani ukampachika kule CCM, ukampa uanasheria mkuu wa serikali, bado atapelekwa puta na akina Halima Mdee. Unaweza pia kurejea uzi huu
Lissu vs Kabudi: Ngoma Inogile...
Hivi hao wanaomlinganisha Lissu na kabudi wanatumia point vipi.... compare and contrast ya hotuba zao ndo jibu sahihi .... Maono ya lisu niyalinabii kbs mfano hakuna aliyesalama imagine hadi wakulima tumeisoma nambaKabudi aliisoma kwa kuangalia ..mwenzake lissu aliisoma kwa kuona .
Umri wa Lissu na uwezo wake wa Sheria..HUWEZI kaa nakufikiria uulinganishe na KABUDI .
Lissu nikitu kingine ndomaana mnapenda hata aaimie uko.
Lisu sikuwahi kumsikiliza Mahakamani hivyo siwezi kumkosoa uwezo wake kama a learned lawyer kwasababu ya kelele za bungeni. Zile kelele ni kwasababu CCM ni wengi na akiongea taratibu watamsumbua kwa wingi wao..Wasioelewa watakushukia kwa maneno ya kipumbavu lakini ukweli ndo huo. Lissu hana anachojua zaidi ya kubwabwaja. Ni kati ya wanasheria wa hivyo kuwahi kutokea. Hata bwana mdogo Albert Msando anamtoa kwente reli. Ajitathmini aone kuwa nje ya ulingo wa siasa anacho kitu anaweza kufanya ? He is a bare headed mind in the darkest of ghost.
Jiwe ni kilaza na muhuni,anachojua ni kukumbatia bunge ikulu na mahakama ,na dicteta hapendi watu vichwa na wenye vipaji, so mhe kama lissu ameoneka ni adui mkuwa kwa jiwe.therefore,jiwe akaamua kuhatalisha maisha la lissu.ndo maana tuansema serikali ya jiwe ni serikali ya wapumbavu.Lissu ni mropokaji na mpiga kelele tu hajui lolote kinacho mbeba ni kwamba wananchi wanahamu kubwa ya mabadiliko ya kiuchumi na kiutawala.
Ukijibiwa hoja yako hii unishutue na Mimi kwa maana naelekea darasani kula vumbi za chaki na mategemeo ya 25% mwisho wa siku!Nyie watu wa Lumumba toeni hata suala moja tu la Kisheria ambalo Lissu alishindwa kulielezea kisheria halafu akazidiwa na kabudi katika kulielezea!!
Elezea wewe kidogo hapo alipigwaje lisasi kulia halafu akaumia kushoto! Au wewe mwenyewe mpigaji wa zile lisasi?Hajui hata katiba ya CHADEMA chama chake sembuse sheria ya nchi? Unapigwa risasi kwa mizengwe unashindwa kuyasoma mazingira?? Risasi inapigwa kulia unaumia kushoto? Then unajiita mwanasheria nguli hujui hata kuchambua mambo??
Una point mkuu!Kulia kwako hakuwezi kuwa ni kushoto kwangu?
Kupayuka hakuondoe uhalisia wa fact anaeiongea!Kizazi cha wadogo zetu ni kizazi ambacho hakijui substance ya maana ni ipi. Mtanzania kuiteka akili yake ni jambo dogo sana.
Unashangaa kusikia eti wachekeshaji na wao wanafungua makanisa na bado wanapata vichwa vingi tu.
Kabudi yupo juu sana, nimeiangalia hii clip ya bunge la sasa, jamaa anamwaga shule, kama vile mwalimu anaongea na wanafunzi.
Lissu ana tatizo la kushindwa kuitawala arrogance yake, hachelewi kuanza kupayuka, na hawezi kudhibiti hisia zake.
Maana ya kupayuka katika mtindo wa lugha niliyotumia unamaanisha pia kutokuwa na uhakika wa anachokiongea. Sarcasm yake huwa inampatia umaarufu wa muda mfupi tu.Kupayuka hakuondoe uhalisia wa fact anaeiongea!
Sawa, kwanini risasi hazikuelekezwa kwa Kabudi? Pia Mdee ameingiaje! Kwani Lissu na Mdee wanatumia kichwa kimoja? Mchanganyo huu unanifanya naamini umeandika kisiasa zaidi.Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Ukitaka kujua who is who rejea alichokiongea kabudi na diaspora kule marekani na uhalisia wake, na urejee kesi alizoshinda lissu ya watu zaidi ya 400+ tena bila kulipwa hata cent mojaNaanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Hivi hakuna mashindano ya ubishi duniani? Lissu tukimpeleka lazima arudi nyumbani na kikombe.
Lisu sikuwahi kumsikiliza Mahakamani hivyo siwezi kumkosoa uwezo wake kama a learned lawyer kwasababu ya kelele za bungeni. Zile kelele ni kwasababu CCM ni wengi na akiongea taratibu watamsumbua kwa wingi wao..
Huja nishawishi bado mkuu ,umetumia kigezo kidogo mno cha kiutendaji wa majukumu yao ya kisheria mahala husikaNaanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Umeongea Bonge la point chiefMkuu britanicca , with due respect, hukuwa na haja ya kuanzisha mada hii hapa JF hata kama ni muanzishaji mzuri na mkongwe wa mada-hata zile zinazokinzana. Hakuna mahali popote ambapo kuna mabishano kuwa ni nani kati ya Prof. Kabudi na Lissu yuko 'vizuri' kuliko mwenzake. Hao ni wanasiasa na wanajibizana kisiasa. Hakika, huna hoja wala hukuwa na haja ya kuanzisha mada hii ambayo inaweza kuishia kumtweza mmoja wa hao. Kama huna hoja, si lazima uanzishe mada. Muda mwingine soma za wenzako!