Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,

Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,

Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,

Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,

Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui

Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,

Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Sasa hapa ndo umeongea nini ewe mbuzi? britanicca 😂😂😂😂...yan Kabudi ni mzuri kuliko Lissu na Mdee blah blah, uzuri wa Kabudi kumzidi Lissu ni upi huo? Nikukumbushe tu Lissu hajafa, ni mzima anaishi, kama mlikusudia afe ili mle na kunywa...hovyo kabisa, ndo maana unaandika huku unajistukia kuwa utashambuliwa kwa vile unajua umeandika ushuzi
 
Asante Petro.

Lkn mimi nataka niende nje ya mada kidogo.

Kwanini wanasheria wa humu JF hamtusaidii pale mijadaya ya kisheria inapozuka na kuleta ukakasi kwenye jamii??

Ni uvivu? Uoga? Au kutokujua??
Hapa hakuna mjadala wa kisheria baba kuna ujinga!
 
Mleta mada wenzio waligundua kwenye sheria hakuna wa kumfikia Lissu hapa tz ndo maana wakaona AK-47 ndo jibu kwa uwezo wa Muumba wa Mbingu na Dunia magazine ikaisha na Izraili hakusogea kuitoa Roho ya Tundu AM Lissu! sasa wewe uliehongwa magimbi na dume umeamua kumtetea Prof bingwa wa mambo ya familia akajiingiza kwenye uvundo wa Makinikia akaishia kula posho na kusepa tukaikosa NOAH hadu tyubu ya bajaji! Hata aliekutuma hamuwezi Lissu.
 
Hayo ndo matatizo yake kuhamisha mafanikio ya darasani hadi Bungeni. Nadhani huwa anatafuta sbabu ya kutaja hiyo GPA. GPA inapatikana kwa kujibu maswali vizuri, basi! Bungeni tunataka watu wenye busara, wenye uwezo wa kufikiri na kutatua matatizo ya wananchi. Hayo hayapimwi kwa GPA! Siyo lazima GPA kubwa iapatikane kwa mtu mwenye sifa za ubunge. Ni sawa na uwezo wa ngiri kukimbia kuliko binadamu, hapati nafasi ya mumshinda binadamu akili ya kutatua matatizo yake.
Si umeona ametaka mpaka maksi za wanasheria wengine zifukuliwe sababu ukija kuangalia za kwake yeye ndo hio 4.8 GPA mzee anafeli sana yuke
 
Kabudi aliisoma kwa kuangalia ..mwenzake lissu aliisoma kwa kuona .

Umri wa Lissu na uwezo wake wa Sheria..HUWEZI kaa nakufikiria uulinganishe na KABUDI .

Lissu nikitu kingine ndomaana mnapenda hata aaimie uko.
Lisu asingekuwa na uelewa mkubwa na umahiri wasingetaka kumuua.Unapotaka kumuua mpinzani wako ni kwamba huna uwezo wa kumshinda kwa hoja iwe jukwaani au mahakamani.Huyo Kabudi amefilisika kifkra na ndio maana anajipendekeza na Serikali apate mkate wake.Haiingii akilini kama wewe ni profesa mwenye uwezo ujipendekeze na Serikali.Maprofesa wa nchi za wenzetu hawajipendekezi na Serikali zao.
 
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,

Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,

Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,

Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,

Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui

Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,

Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Ipi level ya kuhongwa uwaziri
 
Kabudi hajswahi kuwa practising lawyer katika mahakama kuu. Ni mwanasheria wa makaratasi na ualimu tu!
 
Huwezi kulinganisha mlinzi wa Mali za wenyewe na mwizi, mtu asiye na misimamo katika kile anachokiamini.
Bali anafanya maamuzi kulingana na kutetea tumbo lake au la wale waliomtuma. Mbona hili liko wapi kabisa. Halihitaji propaganda kama za mtoa mada.

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,

Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,

Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,

Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,

Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui

Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,

Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
If you dare to compare the two, then the difference should be very small. The use of the words "too shallow " defeat the assertion, we don't compare the opposite, we compare the alike things. 😀
 
Mleta mada na wengine wengi hawajui maana ya sheria.
Ili uwe mwanasheria,lazima uifanyie kazi sheria. Kufundisha sheria si kuifanyia kazi sheria.
 
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,

Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,

Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,

Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,

Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui

Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,

Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Kabundi leo kavuliwa bungeni nenda kamtetee
 
Yaani wewe mbeba mabox unathubutu kuhoji uwezo wa Lissu?pumbafu sana wewe
 
Back
Top Bottom