Sasa hapa ndo umeongea nini ewe mbuzi? britanicca 😂😂😂😂...yan Kabudi ni mzuri kuliko Lissu na Mdee blah blah, uzuri wa Kabudi kumzidi Lissu ni upi huo? Nikukumbushe tu Lissu hajafa, ni mzima anaishi, kama mlikusudia afe ili mle na kunywa...hovyo kabisa, ndo maana unaandika huku unajistukia kuwa utashambuliwa kwa vile unajua umeandika ushuziNaanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Hii yote hata baada ya mpumbavu wenu kujitangaza kichaa??? Tatizo lenu nini?Lissu ana tatizo la kushindwa kuitawala arrogance yake, hachelewi kuanza kupayuka, na hawezi kudhibiti hisia zake.
Hapa hakuna mjadala wa kisheria baba kuna ujinga!Asante Petro.
Lkn mimi nataka niende nje ya mada kidogo.
Kwanini wanasheria wa humu JF hamtusaidii pale mijadaya ya kisheria inapozuka na kuleta ukakasi kwenye jamii??
Ni uvivu? Uoga? Au kutokujua??
Si umeona ametaka mpaka maksi za wanasheria wengine zifukuliwe sababu ukija kuangalia za kwake yeye ndo hio 4.8 GPA mzee anafeli sana yukeHayo ndo matatizo yake kuhamisha mafanikio ya darasani hadi Bungeni. Nadhani huwa anatafuta sbabu ya kutaja hiyo GPA. GPA inapatikana kwa kujibu maswali vizuri, basi! Bungeni tunataka watu wenye busara, wenye uwezo wa kufikiri na kutatua matatizo ya wananchi. Hayo hayapimwi kwa GPA! Siyo lazima GPA kubwa iapatikane kwa mtu mwenye sifa za ubunge. Ni sawa na uwezo wa ngiri kukimbia kuliko binadamu, hapati nafasi ya mumshinda binadamu akili ya kutatua matatizo yake.
Lisu asingekuwa na uelewa mkubwa na umahiri wasingetaka kumuua.Unapotaka kumuua mpinzani wako ni kwamba huna uwezo wa kumshinda kwa hoja iwe jukwaani au mahakamani.Huyo Kabudi amefilisika kifkra na ndio maana anajipendekeza na Serikali apate mkate wake.Haiingii akilini kama wewe ni profesa mwenye uwezo ujipendekeze na Serikali.Maprofesa wa nchi za wenzetu hawajipendekezi na Serikali zao.Kabudi aliisoma kwa kuangalia ..mwenzake lissu aliisoma kwa kuona .
Umri wa Lissu na uwezo wake wa Sheria..HUWEZI kaa nakufikiria uulinganishe na KABUDI .
Lissu nikitu kingine ndomaana mnapenda hata aaimie uko.
Ipi level ya kuhongwa uwaziriNaanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Kwani nazo zinaletwa?Si umeona ametaka mpaka maksi za wanasheria wengine zifukuliwe sababu ukija kuangalia za kwake yeye ndo hio 4.8 GPA mzee anafeli sana yuke
If you dare to compare the two, then the difference should be very small. The use of the words "too shallow " defeat the assertion, we don't compare the opposite, we compare the alike things. 😀Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Kabundi leo kavuliwa bungeni nenda kamteteeNaanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Yaani wewe mbeba mabox unathubutu kuhoji uwezo wa Lissu?pumbafu sana weweNaanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Lissu anauwezo gani wa ziada?Yaani wewe mbeba mabox unathubutu kuhoji uwezo wa Lissu?pumbafu sana wewe
Ana akili kuliko wabunge wenu woteLissu anauwezo gani wa ziada?