Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

Huyo kabudi angekuwa na uwezo mkubwa no vile angeweza kuiokoa nchi ktk madeni makubwa zaidi ya trion 4.6 ambayo alikuwepo bungeni wakati lisu akiwatahadhalisha juu ya kuzuia makinikia,ki fupi ustafute malumbano na ww ndo uelewa wako je ulishakutana na matapeli wanakupa somo mpaka mwenyewe unatoa pesa bila kuradhmishwa?

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Da madini ya kutosha kabisa nimeipenda hii post
 
Hivi mbona uelewa wako ni mdogo kiasi hicho. Bado hujaelewa tu nilichoandika hapo? Kwamba sheria zote zinazotungwa nchini ni lazima rais ahusika. Kwamba bunge haliwezi kutunga sheria ye yote bila rais kuhusika. Miswaada yote inayotungwa/kupitishwa na bunge ni lazima ilidhiwe (assent) na kusainiwa na rais ndipo inakuwa sheria. Bila ya kuridhiwa na rais misuada hiyo haiwezi kuwa sheria. Hizo ndizo a, b, c, za kutunga sheria. Wewe baki na hizo a, e, i, o, u zako.
 
Mleta maada inawezeka ulikuwa na point ila umeshindwa kabisa kutueleza uzuri wa Kabudi na ubaya wa Lissu professionally.
umebaki kutuambia sisi ndio tuangalie.

mpondeni lissu kwa fact
 
"Hakuna anachojua". Ni point yenye " less" mbele. Ni kitu gani/ushaidi upi unaoweza kuutoa kwa mtu na kakuelewa kuwa Lissu "hakuna anachokijua"???.
 
Atleast tunaongea lugha moja mzee yule anakwambia ni 4.8 GPA
Hayo ndo matatizo yake kuhamisha mafanikio ya darasani hadi Bungeni. Nadhani huwa anatafuta sababu ya kutaja hiyo GPA. GPA inapatikana kwa kujibu maswali vizuri, basi! Bungeni tunataka watu wenye busara, wenye uwezo wa kufikiri na kutatua matatizo ya wananchi. Hayo hayapimwi kwa GPA! Siyo lazima GPA kubwa ipatikane kwa mtu mwenye sifa za ubunge. Ni sawa na uwezo wa ngiri kukimbia kuliko binadamu, hapati nafasi ya kumshinda binadamu akili ya kutatua matatizo yake.
 
Ni haki yako kutoa maoni!! Kila mtu kichwa chake. TL ni mtu when it comes to sheria.
 
Kabudi aliisoma kwa kuangalia ..mwenzake lissu aliisoma kwa kuona .

Umri wa Lissu na uwezo wake wa Sheria..HUWEZI kaa nakufikiria uulinganishe na KABUDI .

Lissu nikitu kingine ndomaana mnapenda hata aaimie uko.
Prof Kabudi hata mtihani wa Tanzanian Bar Association (Bar Exam) hajawahi kuufanya, apelekwe Tanzanian School Of Law akaone balaa lake, halafu ndo mrudi tena na hoja yenu

Tusibishane ilimradi kubishana, twendeni kwa hoja tu
 
Tafadhali tuambie ulichokielewa katika mafundisho ya mpaa magamba

Aliowafundisha haiyumkini ndio hao wanaoiingiza nchi hasara kubwa kwani wanasheria wa serikati hushindwa kesi kila siku!
Imeelezwa bungeni kuwa mpaa magamba alifeli, narudia ALIFELI mtihani wa taaluma (wana jina lao la kiaheria)

Sina wasiwasi juu ya "munyampaa wu khaya" "Njaghamba" TUNDU LISSU.

Kabudi anajitutumua.
 
Kabudi bingwa wa family law inatakiwa aajiriwe ustawi wa jamii ndio kunamfaa,makinikia kaangukia pua na pesa watalipa ndefu mda si mrefu
 
Nilisikiliza hotuba ya kabudi nilimpenda alivyoongea angalau anajibu hoja kisomi japokua anatoa matango poli , unaweza kudanganyika ukamwamini , lakini tundu ni ushuhuda unaoishi , yaani kwa kumuangalia yeye unaweza kusoma ukaelimika nadhani hata chuo kinajivunia tundu lissu ,
 

Mbwiga anajadili fani za kitaaluma kwa kuangalia eti "pesentation style"! Mwanasheria makini ni yule anayeongea kwa kutumia authorities za Kisheria na anayetoa 'position' sahihi ya Sheria kama ilivyokusudiwa na Bunge lilipotunga hiyo Sheria.
Kabudi ana mbwembwe za ualimu tu na kupindisha tafsiri za Sheria ili kufurahisha mamlaka!

Anyway, mtoa mada wewe ni lay person, you need to reserve your idiocy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…