Lissu: Huko mbele ni kugumu, lakini ni lazima twende

Kishindo Cha wakoma ,kiliwakimbiza washami, kishindo Cha wakoma kiliwakimbiza washami.
Walipokabiliwa na njaa wakoma waliotengwa ,wakasema twende tuombe chakula ,tuombe Kwa maadui zetu washami.Ingawa tunaweza kuuwawa lakini twende kambi ya washami.....

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kifupi Lissu amesha nyoosha mikono aiseee sasa itakuwaje?
 
Hahahahha lodi lofa. Anamuogopa comrade mbowe. Hiki kikundi cha wahuni kinatakiwa kifutweee kabisa kwenye ramani.
 
Ccm itashindwa vibaya uchaguzi ukifanyika, na sasa wataweza kuja na kama ya Jecha Zanzibar ,wananchi walivyo choka ccm wakija nayo nini kitatokea? Kama sio kugawana mbao,

Tunaweza kuja kuwa na Marais wawili kila mmoja akiaapa kwa mda tofauti, hili mwendazake pia aliangalia thats akapora mchakato mzima wa uchaguzi
 
Kabisa yaani !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…