Lissu: Hata Mbowe achunguzwe!

Tatizo ni kwamba kila anaye tofautiana na serekali mnamwita chadema, kinyume chake ni sahihi pia

Ati mnamwita.. wa humu wengi wanajulikana hata wapiga picha wao, wabeba pochi..

Sasa sijui unanambia nini.. as kuna ID zilizochachamaa sana humu kwa mida tofauti ndio hao wasio wa Chadema
 
Alichomaanisha ni kwamba unapodai uchunguzi wa suala lolote lile huwezi kuchagua upande gani uchunguzi uelekee zaidi ya ushahidi unapokupeleka.

And there is no such thing as “fulani” achunguzwe bali ni tukio lichunguzwe na yeyote atakaekuwa implicated uchunguzi ujikite huko.

Japo kwa Afrika na dunia za tatu hizi, hakuna uchunguzi wa tukio unaoelekea kwa Rais. Rais kwa hili alitakiwa awe implicated kwa sababu alitamka anaekosoa maamuzi ya masuala ya madini ni adui, msaliti, na adui msaliti wanajeshi wanajua wamfanye nini. Kwa Amiri Jeshi, hasa wa vitaifa vidogo, vichafu hivi vikandamizaji, hili ni agizo la kijeshi.
 
Narudia tena Mbowe yuko tayari hata sasa hivi. Mziki ni hapo kwa jiwe na Bashite.
Kamanda hata ukirudia mara elfu moja, ukweli unabakiaga palepale..nao ni kwamba jambo usilolijua ni kama usiku wa giza..wait and see..nyie endeleeni kuficha madereva tu
 
Rudi shule
Statement ndogo kama Hii ya Mbowe achunguzwe ndio umekamilisha uchambuzi wako wa habari???
Punguzeni mahaba ya kipumbavu
Lissu anawapa Uhuru wa kuchunguzwa kila mtajwa shida iko wapi hapa kuelewa?
Tuanze na bashite dammit wengine watafuata ndeze kabisa
 
Bila shaka kila jambo lina wakati wake. Sasa ni wakati wa Mbowe kuchunguzwa ili kubaini yaliyojificha. Lissu unaujua ukweli kuhusu Kiongozi wako Mbowe
 
Bila shaka kila jambo lina wakati wake. Sasa ni wakati wa Mbowe kuchunguzwa ili kubaini yaliyojificha. Lissu unaujua ukweli kuhusu Kiongozi wako Mbowe
Waliohusika ni hao wanaozunguka nyumba za ibada na kuomba waombewe!
Kila kanisa wamo mara wanasaidia kujenga makao makuu ya bakwata mara wanalialia hovyo kinafiki

Lizaboni
 
Tulia dawa ikuingie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamfundisha nani haya maelezo yako?

Watu wameelewa Lisu anataka mbowe achunguzwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Lumumba viwete, context ya kauli ya Lisu wala hukuipata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…