Lissu haponi kesi hii

Mnabii wengi walihukumiwa, kudhulumiwa na hata kuuawa kwa sababu ya kusimamia ukweli!
Watamhukumu! Watamuua... Lakini wengine watakuja wakijua wapi pa kuanzia!
Maji yashakorogeka haya!
Binafsi nimeshaumia sana na hii kesi mpaka kulia nimelia. Kila nikimsikia Lissu akifanya mawasilisho yake au cross examinations zake naumia kwa jinai alivyo innocent lakini from nowhere majaji wanaamua kwa jia zao za kijima.

Nakata tamaa
 
Utakufa
Hela za damu za watu unazo kula kutoka Kwa SAMIA ipo siku zitaleta laana kwenye familia Yako !!Utashangaa mama Yako Anapata kansa ya kizazi
 
Ndo maana nikasema Labda majaji wapate akili siku za mbele. Zingatia hapo
Kiuhalisia hana kesi yoyote, hilo linafahamika kwa kila mwenye akili. Lakini kwa sababu tuna watawala mashetani, wanaweza kumtengenezea kesi mtu yeyote asiye na hatia kwa kuwaelekeza mahayawani yao waliyoyajaza kwenye mahakama zao bandia.
Nchi ipo kwenye laana ya pekee. Nchi haina bunge, haina mahakama, haina polisi wala jeshi. Hizo taasisi zote zimefanywa kuwa idara za watawala wauaji na madhulumati wa haki za watu.
 
Binafsi nimeshaumia sana na hii kesi mpaka kulia nimelia. Kila nikimsikia Lissu akifanya mawasilisho yake au cross examinations zake naumia kwa jinai alivyo innocent lakini from nowhere majaji wanaamua kwa jia zao za kijima.

Nakata tamaa
Wala usilie...
Kusanyiko la wajinga na wapumbavu wanadhani wakimmaliza Lissu watakuwa salama zaidi!
HAKUNA!
Kuna miTanganyika mingine itaibuka ikiwa strong na eloquent kuliko Lissu!

Usilie! Usikate tamaa! Jikaze... Amka tusonge mbele!
 
Tanzania tumepewa mtu mmoja wa kutuvusha hapa. Ni huyu Lissu. Tukimpoteza basi Kuna miaka mingine zaidi ya 50 mbele huko. Hatutoishi kuiona Tanzania/Tanganyika yetu. Maana hawa manyang'au watakuwa wameimaliza Kila kitu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…