Yaani huyo jamaa tatizo lake , kazungukwa na watu ambao hawana uwezo wa kumshauri hata kidogo .
Wapenda mabadiliko hatuangalii akili za majaji wanaoteuliwa na mwenyekiti wa ccm, aliyemfunga gerezani mpinzani wake kwa hila! Tunachoangalia hapa ni historia kuandikwa kwa ajili ya kizazi chasasa, na kile kijacho.
Usanii mtupu.Nimeifuatilia hii kesi kwa karibu sana tangu mwanzo. Nimeifuatilia zaidi ilipofika kwa majaji huku mahakama kuu.
Itoshe kusena kuwa kwa ushahidi wa serikali na utetezi huu anaoendelea kuutoa, na mitazamo ya majaji, ni dhahiri Lissu hachomoki. Atahukumiwa tuu. Labda majaji wapate akili siku za mbele. Ila kwa hii akili walio nayo kwa sasa? Mashaka ni makubwa sana
Sihitaji wala sifikirii huo upumbavuUnataka kujiunga
Hakuna nafasi kule 🦘🦘
Na yeye hataki kupona,vinginevyo angepokea chochote kitu kama chairman mstaafu;yeye yupo tayari kwa lolote na hata ikibidi kunyongwaNimeifuatilia hii kesi kwa karibu sana tangu mwanzo. Nimeifuatilia zaidi ilipofika kwa majaji huku mahakama kuu.
Itoshe kusena kuwa kwa ushahidi wa serikali na utetezi huu anaoendelea kuutoa, na mitazamo ya majaji, ni dhahiri Lissu hachomoki. Atahukumiwa tuu. Labda majaji wapate akili siku za mbele. Ila kwa hii akili walio nayo kwa sasa? Mashaka ni makubwa sana
Uzuri ni kwamba Lissu ameshakubali kufa, kuwa martyr.Nimeifuatilia hii kesi kwa karibu sana tangu mwanzo. Nimeifuatilia zaidi ilipofika kwa majaji huku mahakama kuu.
Itoshe kusena kuwa kwa ushahidi wa serikali na utetezi huu anaoendelea kuutoa, na mitazamo ya majaji, ni dhahiri Lissu hachomoki. Atahukumiwa tuu. Labda majaji wapate akili siku za mbele. Ila kwa hii akili walio nayo kwa sasa? Mashaka ni makubwa sana
Huna akiliNimeifuatilia hii kesi kwa karibu sana tangu mwanzo. Nimeifuatilia zaidi ilipofika kwa majaji huku mahakama kuu.
Itoshe kusena kuwa kwa ushahidi wa serikali na utetezi huu anaoendelea kuutoa, na mitazamo ya majaji, ni dhahiri Lissu hachomoki. Atahukumiwa tuu. Labda majaji wapate akili siku za mbele. Ila kwa hii akili walio nayo kwa sasa? Mashaka ni makubwa sana
Manabii wengi walihukumiwa, kudhulumiwa na hata kuuawa kwa sababu ya kusimamia ukweli!Nimeifuatilia hii kesi kwa karibu sana tangu mwanzo. Nimeifuatilia zaidi ilipofika kwa majaji huku mahakama kuu.
Itoshe kusena kuwa kwa ushahidi wa serikali na utetezi huu anaoendelea kuutoa, na mitazamo ya majaji, ni dhahiri Lissu hachomoki. Atahukumiwa tuu. Labda majaji wapate akili siku za mbele. Ila kwa hii akili walio nayo kwa sasa? Mashaka ni makubwa sana
Nakubaliana na mtoa hoja.Sijaona bado kama hawa majaji wanaweza kuamua vinginevyo. Walikuwa na hiyo nafasi tangu mwanzo kabisa ila ni dhahiri tayari wanayo maamuzi yao.
Hukumu ni lazima itoke lakini si kama unavyoweza kufikiri weweNimeifuatilia hii kesi kwa karibu sana tangu mwanzo. Nimeifuatilia zaidi ilipofika kwa majaji huku mahakama kuu.
Itoshe kusena kuwa kwa ushahidi wa serikali na utetezi huu anaoendelea kuutoa, na mitazamo ya majaji, ni dhahiri Lissu hachomoki. Atahukumiwa tuu. Labda majaji wapate akili siku za mbele. Ila kwa hii akili walio nayo kwa sasa? Mashaka ni makubwa sana
🔥🔥Kweli kabisa Mkuu👈
ile Kesi siku baada ya siku inadhidi kumwelemea yeye Lissu👈
Angeuza ile kesi kwa wenzie
Lkn lengo lake kujimwambafai tu kuwa yeye hashindiki 🤠🤠
Akili ninazo mkuu. Ndo maana nimejua kuwa majaji kwa sasa akili hawana. Labda mbeleni wapate akili.Huna akili
Binafsi nimeshaumia sana na hii kesi mpaka kulia nimelia. Kila nikimsikia Lissu akifanya mawasilisho yake au cross examinations zake naumia kwa jinai alivyo innocent lakini from nowhere majaji wanaamua kwa jia zao za kijima.Hukumu ni lazima itoke lakini si kama unavyoweza kufikiri wewe
Inaumiza. Anakubaliana na hoja za Lissu halafu anapitisha hoja za kina Katuga.Nakubaliana na mtoa hoja.
Tuendelee Mhe Jaji na maswali mengine. Alisikika wakili mmoja aliyepigiwa simu.