Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,431
- 2,210
Maelekezo ya wasira hayaNimeifuatilia hii kesi kwa karibu sana tangu mwanzo. Nimeifuatilia zaidi ilipofika kwa majaji huku mahakama kuu.
Itoshe kusena kuwa kwa ushahidi wa serikali na utetezi huu anaoendelea kuutoa, na mitazamo ya majaji, ni dhahiri Lissu hachomoki. Atahukumiwa tuu. Labda majaji wapate akili siku za mbele. Ila kwa hii akili walio nayo kwa sasa? Mashaka ni makubwa sana
Kwahiyo wewe unafurahia akinyongwa ?Nimeifuatilia hii kesi kwa karibu sana tangu mwanzo. Nimeifuatilia zaidi ilipofika kwa majaji huku mahakama kuu.
Itoshe kusena kuwa kwa ushahidi wa serikali na utetezi huu anaoendelea kuutoa, na mitazamo ya majaji, ni dhahiri Lissu hachomoki. Atahukumiwa tuu. Labda majaji wapate akili siku za mbele. Ila kwa hii akili walio nayo kwa sasa? Mashaka ni makubwa sana
Na mapungufu yalishonyeshwa na yanafahamika,hawezi kufungwaUna uhakika gani kuwa ushahidi wa serikali hauna mapungufu?
Until mahakama ziwe huru na uhuru wake kama taasisi uanzie kwenye katiba there wont be changes. Wataendelea kupokea maelekezoNimeifuatilia hii kesi kwa karibu sana tangu mwanzo. Nimeifuatilia zaidi ilipofika kwa majaji huku mahakama kuu.
Itoshe kusena kuwa kwa ushahidi wa serikali na utetezi huu anaoendelea kuutoa, na mitazamo ya majaji, ni dhahiri Lissu hachomoki. Atahukumiwa tuu. Labda majaji wapate akili siku za mbele. Ila kwa hii akili walio nayo kwa sasa? Mashaka ni makubwa sana
Labda majaji wapate akili siku za mbele. Zingatia hapoUna uhakika gani kuwa ushahidi wa serikali hauna mapungufu?
Labda majaji wapate akili siku za mbele. Zingatia hapoAlishajiandaa hakuna jipya
Ndo maana nikasema Labda majaji wapate akili siku za mbele. Zingatia hapoUntil mahakama ziwe huru na uhuru wake kama taasisi uanzie kwenye katiba there wont be changes. Wataendelea kupokea maelekezo
Zingatia hapo Labda majaji wapate akili siku za mbele. Zingatia hapoMaelekezo ya wasira haya
Labda majaji wapate akili siku za mbele. Zingatia hapoKwahiyo wewe unafurahia akinyongwa ?
Maisha magumu mpaka yanakusababisha unakuwa na roho ya kikatili
Labda majaji wapate akili siku za mbele. Zingatia hapoHivi huko Lumumba mliongezewa posho au bado ni buku 7
Umefeli.Labda majaji wapate akili siku za mbele. Zingatia hapo
Labda majaji wapate akili siku za mbele. Zingatia hapoSawa Mzee Wasira, tumekusikia.