Nilisema huyu Jamaa mropokaji na kweli anazidi kuonyesha rangi zake. Inakuwaje UKAWA hawajafikia maamuzi tayari mtu anakuja na hoja kama hii sii kutaka kuleta ugonvi ndani ya UKAWA.. Ndio maana nikasema UKAWA are not for real ni wasanii tu kama wasanii wengine wa siasa.....
Kwa maana hiyo - Dr.Slaa kuhamia CUF au Maalim Seif ajiunge Chadema? yaani hili ndio litakuwa anguko la mwaka. maalim Seif hawezi kujiunga Chadema hata siku moja, na Dr.Slaa hawezi kubaliwa CUF ni reality msotaka kuisema...
Mkuu naona sasa umeingilia private za watu. kusema kweli siutegemea mtu kama wewe ungeweza fikia hapa.hahhaahhaha....whatever...its wewe who said unapambana na UKAWA muda wote...na ni maadui zako
Iweje ikuume wewe ugomvi kuwepo ndani ya UKAWA
UKAWA is real....Sijui kama Act yenu ni real
Hapa kamanda anaeneza chama kwa wapiga box....kwetu sisi hata watu hoples ni wapiga kura wazuri
Mkuu naona sasa umeingilia private za watu. kusema kweli siutegemea mtu kama wewe ungeweza fikia hapa.
Okay, kwani pasipo UKAWA maalim Seif alikuwa hagombei Zanzibar?maalim seif atagombea urais wa zanzibar.
nakuhakikishia Dr slaa atagombea urais wa muungano
Kwani hapo lazima wawe chama kimoja?
Okay, kwani pasipo UKAWA maalim Seif alikuwa hagombei Zanzibar?
slaa ni kilema wa mkono na mguu hataweza kukabiliana na changamoto za nchi yetu
Alaah wajifanya hujui... safi sana mkuu Ndio Uchadema sio!kivipi mkuu...hebu kuwa wazi?
Kwa kukwambia
"Iweje ikuume wewe ugomvi kuwepo ndani ya UKAWA
UKAWA is real....Sijui kama Act yenu ni real"
Endelea kudhani UKAWA ni wasanii, CUF Zanzibar wameshatangaza mgombea wao umesikia Ukawa umevunjika? hata huku bara kila chama kina haki ya kumuuza mgombea wake ili aweze kupita kwenye mchujo wa Ukawa hata MOU ya Ukawa inatambua hilo.Nilisema huyu Jamaa mropokaji na kweli anazidi kuonyesha rangi zake. Inakuwaje UKAWA hawajafikia maamuzi tayari mtu anakuja na hoja kama hii sii kutaka kuleta ugonvi ndani ya UKAWA.. Ndio maana nikasema UKAWA are not for real ni wasanii tu kama wasanii wengine wa siasa.....
Alaah wajifanya hujui... safi sana mkuu Ndio Uchadema sio!
OK, nimekueleweni, Kwa hiyo rais wa JMT ni rais wa Tanganyika sio?Endelea kudhani UKAWA ni wasanii, CUF Zanzibar wameshatangaza mgombea wao umesikia Ukawa umevunjika hata huku bara kila chama kina haki ya kumuuza mgombea wake ili aweze kupita kwenye mchujo wa Ukawa hata MOU ya Ukawa inatambua hilo.
Waache wahangaike , wanafikri urais ni sawa na kumkumbatia MSHUMBUSI.
Uchaguzi wa mwaka huu utatumia katiba tuliyotumia 2010, the rest applies.OK, nimekueleweni, Kwa hiyo rais wa JMT ni rais wa Tanganyika sio?
Nyie endeleeni kuwaabudu SLAA na MBOWE huku wakikifilisi chama, miaka 22 bado makao makuu yako kwenye chumba cha kupanga hamuhoji nuo ufisadi.
Najua isipokuwa umesema Maalim Seif atagombea Zanzibar kwa hiyo nafasi ya JMT itakuwa Dr.Slaa kwa maandalizi yenu ya UKAWA kuunda tofauti baina ya nchi hizi mbili au sio? nimewaelewa.. Among things which make me go mnnnnh!Uchaguzi wa mwaka huu utatumia katiba tuliyotumia 2010, the rest applies.
Nilisema huyu Jamaa mropokaji na kweli anazidi kuonyesha rangi zake. Inakuwaje UKAWA hawajafikia maamuzi tayari mtu anakuja na hoja kama hii sii kutaka kuleta ugonvi ndani ya UKAWA.. Ndio maana nikasema UKAWA are not for real ni wasanii tu kama wasanii wengine wa siasa.....
Najua isipokuwa umesema Maalim Seif atagombea Zanzibar kwa hiyo nafasi ya JMT itakuwa Dr.Slaa kwa maandalizi yenu ya UKAWA kuunda tofauti baina ya nchi hizi mbili au sio? nimewaelewa.. Among things which make me go mnnnnh!