Lissu: Asanteni watanzania kwa maombi, hatuwezi kushangilia kama bado wenzetu wanateseka Magereza

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Anaandika Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu.
Asanteni Watanzania Kwa Maombi yenu hatuwezi kushangilia kama bado wenzetu wanateseka Magerezani.

tmp_7763-Screenshot_2017-02-10-13-36-501877497097.png

Mungu ni mwema. Sina hamu hata na hii nchi. Naamini muda si mrefu tunachukua nchi walisema mateso yakizidi neema inakaribia.
 
Anaandika Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu.
Asanteni Watanzania Kwa Maombi yenu hatuwezi kushangilia kama bado wenzetu wanateseka Magerezani.View attachment 469131
. Mungu ni mwema. Sina hamu hata na hii nchi. Naamini muda si mrefu tunachukua nchi walisema mateso yakizidi neema inakaribia.
Hahahaha
 
pole kamanda but ipo siku tu because watz wa sasa sio wa enzi zile nao wanaelewa,wanaona,wanajua yanayotokea.
 
NITAMCHAPA MWANANGU HADI ASOME AWE KAMA TUNDU LISU. HIYO NDIYO HESHIMA NINAYOWEZA KUITOKA KWA TUNDU LISU. ANANIVUTIA SANA HUYU MWANASHERIA NINGERUDI UTOTONI NINGESOMA HATA KWA KUWEKA MIGUU KWENYE JOKOFU ILI TU NIMFIKIE. TEUA LISU MWANASHERIA MKUU KUIPA SHERIA HESHIMA YAKE.
 
Vipi mkuu, umewaona wakenya walivyokutaja? Unasemaje?
 
Anaandika Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu.
Asanteni Watanzania Kwa Maombi yenu hatuwezi kushangilia kama bado wenzetu wanateseka Magerezani.

View attachment 469131

Mungu ni mwema. Sina hamu hata na hii nchi. Naamini muda si mrefu tunachukua nchi walisema mateso yakizidi neema inakaribia.
Methali 28:16 - Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana;
Tuombee akili za walipewa dhamana ya kutulinda
 
Vijana wa Lumumba taarifa kama hizi huwa zinawaumiza sana, saizi wanafarakana huko waliko
 
Back
Top Bottom