saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
We mwehu acha ushabiki km zombie, huyo nyau si ni yuleyule wa 2020 aliyekimbilia ubalozi wa Ujerumani akatokomea Ulaya? We hujui maana ya dola, ustaarabu wa Rais ulikuwa unamlinda. Huyo ni nyau mdg sn hakuwahi ht kuwa na kacheo, aliyekuwa Rais wa Zanzibar aliwekwa kizuizini mpk anakufa, huyo nyau ni nani.Na wanavyomuogopa watakuwa wameenda kumnyonga Hadi kufa kabla kesi yake kusikilizwa
na olewenu tutawavuruga....banglesh wakubwa nyie
Takataka jinga kabisa weweANDAMANENI.Mkione cha moto.Mbona mnalia lia.
Nafikiri kuna some terms (mazungumzo) watakuwa wanafanya na Ofisi kubwa ili kujaribu kulimaliza hili kabla ya hearing.
Hili jambo linamchafua sana her excellence both internally and externally
S mlisema hana heshima ila leo vp tenaSio linamchafua.
Sio linamchafua. Limeshamchafua kwenye jumuia za kimataifa. Amejishushia heshima yake kwa kiwango kikubwa
We bwege acha uzushi kujifanya unajua hbr za ndani. Ht angehamishwa gereza ni utaratibu wa gereza we nani uwapangie. Unatafuta kiki za kipuuzi kwa kuleta uzushi.Tundu Lissu has just been collected by official motorcade from the Keko prison.
Not so sure where exactly is he being taken
Kamfuate we mshamba wa kisukuma. Mwaandaeni msukuma mwingine, yule kichaa km si Kikwete asingekanyaga IkuluLaana ya kushangilia kifo cha Magufuli
Hisia zakoNafikiri kuna some terms (mazungumzo) watakuwa wanafanya na Ofisi kubwa ili kujaribu kulimaliza hili kabla ya hearing.
Hili jambo linamchafua sana her excellence both internally and externally
Umesema sahihi MkuuViongozi wawe makini sana, na ofisi ya DPP isimame kwenye maadili. Kuwashtaki watu kwa kosa kubwa kama la uaini kijinga kijinga hivi ni kufanya hili kosa lionekane la kawaida sana.
Hii nchi ukiona watu wana vichwa vikubwa, suti kubwa na wanapiga makelele huko barabarani wakitaka kupishwa unaweza kudhani wanafikiri sawa sawa.
Hoja zinajibiwa kwa hoja, hakuna namna nyingine ya kujibu hoja. Mwenyekiti wa CCM atafute watu smart wanaoweza kujenga hoja awape nafasi. Hii tabia ya kuteua kwa kuangalia nani anasifu zaidi na nani anavaa sana kofisa zenye picha ndio haya sasa unakuja kutumia uhaini kujibu hoja za kisiasa.
Na ataendelea kuchomwa kwa moto mkali huko jehanam huyo shetani mwenzio!Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli
Kabla jogoo hajawika mara mbili.Tundu Lissu has just been collected by official motorcade from the Keko prison.
Not so sure where exactly is he being taken
🤔collected by official motorcade from the Keko prison.
Ni kweli, ni hisia zangu tuHisia zako
magufuri amebaki mifupa mitupu aliyetaka kumuua anatamba duniani mpk chama cha marehemu wanaweweseka wakimskia am sure mwaka huu ndo mwsho wa maccm, am sure bi tozo harudi madarakani.Mtazunguka kwenye makarandinga ya polisi mpaka mkome, mbwa nyie
maybe ukonga on its best gentleman 🐒Tundu Lissu has just been collected by official motorcade from the Keko prison.
Not so sure where exactly is he being taken
Yeah He is a Notorious Person😅😅Atakuwa anapelekwa Ukonga Maximum Security Prison
Wewe ndiyo Nyau huo Uonevu haramu wa kishetani una mwisho wake hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake, walikuwepo madikteta hatari leo wapo wapi? Yupo wapi Elibashiri wa Sudan? Yupo wapi Mabutu, idd Amini Dada, sadam Hussein, Magu na wenzao?We mwehu acha ushabiki km zombie, huyo nyau si ni yuleyule wa 2020 aliyekimbilia ubalozi wa Ujerumani akatokomea Ulaya? We hujui maana ya dola, ustaarabu wa Rais ulikuwa unamlinda. Huyo ni nyau mdg sn hakuwahi ht kuwa na kacheo, aliyekuwa Rais wa Zanzibar aliwekwa kizuizini mpk anakufa, huyo nyau ni nani.
ANDAMANENI.Mkione cha moto.Mbona mnalia lia.