Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,212
- 86,846
Kimada wake huyo dogo ndiomana ana habari zake zote..!!Wewe ni mke wake hadi ujue yote hayo?
Kimada wake huyo dogo ndiomana ana habari zake zote..!!Wewe ni mke wake hadi ujue yote hayo?
Acha kumuanika Mumeo hadharaniHiyo offer apewe Lema atakimbia nchi bila kuangalia nyuma maana ana madeni mengi sana, na michango ya tonetone kaipiga
Na wewe unatumia VPN 🤣🤣Mkataa pema, pabaya panamuita.
P
Acha hii comment naihifadhiHuko pabaya mtaenda ninyi na Lissu mtamuacha.
Shida yemu mnafikiri dumia inaisha na nyie tu.Hiyo ni dili. Lissu aondoke nchini. With all due respect, Chadema, what is wrong with that? Lissu aondoke, Chadema ibadilishe mgombea urais.
CCM wanataka Lissu aondoke. Sijui kwa nini wanataka Lissu aondoke. Lakini wanataka Lissu aondoke. Kama ina maana Chadema watarudi kwenye Uchaguzi,hilo nadhani ni wazo zuri.
Anayekataa pazuri,pabaya panamuita.
Time is running out fast. Chadema wafanye uamuzi kuhusu hili.
It is like when Moses rested and Joshua sent the people across the Jordan.
Kama anashauriwa upumbavu Kila siku na hang'amui chochote basi yeye ndiye mkuu wa wapumbavu.I just don't believe this!, I know she is not as bright and brilliant as JPM, but she is not stupid!, kuna majitu majinga yanamdanganya!.
Tumsaidie asidanganyike!.
P
Panamwita.Mkataa pema, pabayapanamuita.
Nyumbu weweAcha kumuanika Mumeo hadharani
GeniusUnadhani shida ni Lissu? Next will be Heche, Polepole, Gwajima, Bashiru n.k na wakiisha hata wewe utafikiwa tu. Tusiweke precedence mbaya maana itakua utamaduni kwamba uchaguzi ukikaribia tunakupa kesi ya uhaini alafu tunakuachia unaenda uhamishoni.
Mkataa pema, pabaya panamuita.
P
Wewe mzee nawe umedata. Lissu aondoke nchini kwake kwa sababu mwanamke wa Kizanzibari hampendi? Are you serious?Hiyo ni dili. Lissu aondoke nchini. With all due respect, Chadema, what is wrong with that? Lissu aondoke, Chadema ibadilishe mgombea urais.
CCM wanataka Lissu aondoke. Sijui kwa nini wanataka Lissu aondoke. Lakini wanataka Lissu aondoke. Kama ina maana Chadema watarudi kwenye Uchaguzi,hilo nadhani ni wazo zuri.
Anayekataa pazuri,pabaya panamuita.
Time is running out fast. Chadema wafanye uamuzi kuhusu hili.
It is like when Moses rested and Joshua sent the people across the Jordan.
Ugonjwa ni mkubwa ni Congo inayokuja hakuna mtu wa kutoka kusema hapana vyombo vya Ulinzi Usalama vinashidwa kusema kwamba hapa hapana kwa maslahi ya NchiGenius
Huyu Poppy anafikiri wataishia kwa Lisu, Hapana, hiyo ndiyo strategy ya hawa wauaji CCM, wanaanza tu kwa Lisu wanaona kama utakula hapo, wakimaliza hapo wanakuja na linguine, hawa ni watu waliodanganya Taifa hili kwa miaka yote, hasa baada ya kutoweka Nyerere, wamekua wakigawana kila kitu, hii nchi imebakia nyeupe hakuna kitu, aggressors kama Kagame wanaangalia tu kwa mbali, washajua hii nchi ishakua kama Kongo, ni dhaifu mno.
Nchi ipo chini ya The Gang, - hawa akina IGP, CDF, wote wanapokea rushwa, ndiyo maana unaona hata afya zao siyo nzuri. Hii nchi ina ugonjwa mkubwa mno. Once JW ikininajisiwa ujue nchi kwisha.
Kama mtu mjinga anakudanganya na ukadanyika basi wewe( yeye) ni mpumbavu kabisaI just don't believe this!, I know she is not as bright and brilliant as JPM, but she is not stupid!, kuna majitu majinga yanamdanganya!.
Tumsaidie asidanganyike!.
P
P udalali wowote dhidi ya Haki na maslahi ya taifa letu ulishakataliwa na utakataliwa,hapa muhimu ni kuzitambua haki zota za kikatiba zilizoporwa na zinazoendelea kuporwa na sii kukaa mezani na kukubaliana haki ipi inunuliwe na ipi itolewe robo au nusu.Tanzania imeamka.Mkataa pema, pabaya panamuita.
P
Shetani huwa na lugha very seductive, tamu yenye ushawishi kiasi cha Eva au Hawa kuingia mkenge na kuleta mateso ya dunia hii mpaka leo...Hiyo ni dili. Lissu aondoke nchini. With all due respect, Chadema, what is wrong with that? Lissu aondoke, Chadema ibadilishe mgombea urais.
CCM wanataka Lissu aondoke. Sijui kwa nini wanataka Lissu aondoke. Lakini wanataka Lissu aondoke. Kama ina maana Chadema watarudi kwenye Uchaguzi,hilo nadhani ni wazo zuri.
Anayekataa pazuri,pabaya panamuita.
Time is running out fast. Chadema wafanye uamuzi kuhusu hili.
It is like when Moses rested and Joshua sent the people across the Jordan.
Mkuu umeshawahi kujiuliza kwanini huteuliki Wala huchaguliki?Mkataa pema, pabaya panamuita.
P
Kwanini na yeye adanganyike wakati ana akili zake timamu?I just don't believe this!, I know she is not as bright and brilliant as JPM, but she is not stupid!, kuna majitu majinga yanamdanganya!.
Tumsaidie asidanganyike!.
P