Lissu aondoke nchini

Lissu aondoke nchini

Kwanini na yeye adanganyike wakati ana akili zake timamu?

Bwana Paschal, siamini kabisa katika hilo, mimi nachojua ni kwamba Samia hana kabisa uchungu na taifa hili la watanganyika na kwa bahati mbaya sana amezungukwa na opportunists, na yeye kwa kulitambua hilo ameamua kushirikiana na hao waloho kulifilisi kabisa hili taifa.... huku kazi kubwa ya opportunists hao ni kumuhakikishia usalama wake asibugudhiwe na ndio hao anaowatume kufanya uharamia wote huu.
Sio kwamba najidai, bali mimi ni miongoni mwa watu tunaomfahamu vizuri Samia, kuna vitu vinafanyika yeye havijui wala haja approve, ila wasaidizi wake ndio wanamdanganya kuwa lazima vifanyike hivyo vinavyofanyika, hivyo kwenye ule usukani, yeye anaelekezwa tuu, pita huku, pita kule na yeye anapita!.
Hata Mbowe nilimshauri Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!

Ila kuna maeneo very specific, tumwemweleza kuwa amedanywa na wasaidizi wake, na tukawaelekeza wasaidizi wake wamsaidie, kwa kumwambia ukweli, Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..? na kwenye issues za wasiojulikana pia tukasaidia kuelimisha Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe

Hatuna feedback kama walimwambia au laa, hivyo nikauliza Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki? kama aliambiwa na kufanya kiburi na jeuri, then ndio itakuwa kama vile!, hakuna jinsi!.
P
 
Nchi ya kishamba sana raia analazimishwa kukimbia nchi yake
 
Acheni ujinga nchi yetu hii hatuwezi kufukuzwa na mzanzibari.

Wao ndio waondoke warudi kwao hiyo ndiyo sera ya dunia ya sasa, hata kila mtu anafukuzwa arudi kwao.

Nyie mnataka Lisu aende wapi?
Akae hapa hapa, yeye ndiye arudi kwao Zanzibari.
 
Hii Nchi kuna wakati inafikirisha sana, kwa hiyo lissu ni hatari kuliko CCM?. Tumelaaniwa sio bure.
 
Hii Nchi kuna wakati inafikirisha sana, kwa hiyo lissu ni hatari kuliko CCM?. Tumelaaniwa sio bure.
 
Sio kwamba najidai, bali mimi ni miongoni mwa watu tunaomfahamu vizuri Samia, kuna vitu vinafanyika yeye havijui wala haja approve, ila wasaidizi wake ndio wanamdanganya kuwa lazima vifanyike hivyo vinavyofanyika, hivyo kwenye ule usukani, yeye anaelekezwa tuu, pita huku, pita kule na yeye anapita!.
Hata Mbowe nilimshauri Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!

Ila kuna maeneo very specific, tumwemweleza kuwa amedanywa na wasaidizi wake, na tukawaelekeza wasaidizi wake wamsaidie, kwa kumwambia ukweli, Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..? na kwenye issues za wasiojulikana pia tukasaidia kuelimisha Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe

Hatuna feedback kama walimwambia au laa, hivyo nikauliza Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki? kama aliambiwa na kufanya kiburi na jeuri, then ndio itakuwa kama vile!, hakuna jinsi!.
P
Bwana Paschal eeh nakubaliana na wewe kabisa, inawezekana ni kweli kuna mambo mengine yanafanywa na wasaidizi wake bila ya yeye kujua wakiamini kwamba wanalinda utawala wake, mfano kma utekaji wa yule mtoto aliyechoma picha ya raisi kule Mbeya.. pale ni machawa tu wa samia waliamua kufanya vile wakilenga kumfurahisha kwamba watanzania wasimchezee kabisa, siamini kbaisa kma samia aliwatuma kufanya lile tukio.

Halafu pia tusisahau hizi operations chafu zinaendeshwa na mtoto wa samia mwenyewe na za tetesi za chini ya kapeti zinasema yeye ndio ameshikilia vyombo vyote vya ulinzi anavipa order kwa niaba ya mama yake.

Hivyo basi Samia anahusika moja kwa moja kwenye hizi lawama, na ipo siku atakuwa held accountable
 
Kwa sasa na Future ya Tanzania ingeudwa serikali ya umoja wa kitaifa kama ilivyo CUF za Zanzimbar na hapa ni mda chadema Lissu awe makamu na mawaziri kadhaa maisha ya songe Kifo cha Jiwe bado watu wana wenge matumaini kidogo wananchi wazalendo matumaini kidogo ya baki Lissu na Polepole. Toeni Lissu Jela fanyeni serikali ya kitaifa na Polepole hawe ndani kidogo joto litapoa
Bonge la ushauri ila unadhani watakubaliii ? Ngoma imeshika pabaya jombaa
 
Back
Top Bottom