Lissu aondoke nchini

Lissu aondoke nchini

Kwa sasa na Future ya Tanzania ingeudwa serikali ya umoja wa kitaifa kama ilivyo CUF za Zanzimbar na hapa ni mda chadema Lissu awe makamu na mawaziri kadhaa maisha ya songe Kifo cha Jiwe bado watu wana wenge matumaini kidogo wananchi wazalendo matumaini kidogo ya baki Lissu na Polepole. Toeni Lissu Jela fanyeni serikali ya kitaifa na Polepole hawe ndani kidogo joto litapoa
 
It's now clear hamshindani na Lissu tena. Mnashindana na Mungu. Mtapigwa pigo takatifu hamtakaa muamini.
 
Unadhani shida ni Lissu? Next will be Heche, Polepole, Gwajima, Bashiru n.k na wakiisha hata wewe utafikiwa tu. Tusiweke precedence mbaya maana itakua utamaduni kwamba uchaguzi ukikaribia tunakupa kesi ya uhaini alafu tunakuachia unaenda uhamishoni.
'Modus operandi' isiyo ngeni kwa huyu Samia.

Jikumbushe Mbowe alipewa 'option' gani!

Huyu mwanambe anatumia njia za kipumbavu sana.
Yeye anafikiri kila mpinzani wake anayo bei. Hajui kwamba kuna watu wapo tayari kutoa kila walicho nacho, ikiwa ni pamoja na uhai wao kwa ukombozi wa taifa hili.
 
..Mzanzibari SSH anamfukuza Mtanganyika TAL ktk nchi yake. Yaleyale ya kufukuza Wamaasai toka Ngorongoro.
I just don't believe this!, I know she is not as bright and brilliant as JPM, but she is not stupid!, kuna majitu majinga yanamdanganya!.
Tumsaidie asidanganyike!.
P
 
Hiyo ni dili. Lissu aondoke nchini. With all due respect, Chadema, what is wrong with that? Lissu aondoke, Chadema ibadilishe mgombea urais.

CCM wanataka Lissu aondoke. Sijui kwa nini wanataka Lissu aondoke. Lakini wanataka Lissu aondoke. Kama ina maana Chadema watarudi kwenye Uchaguzi,hilo nadhani ni wazo zuri.

Anayekataa pazuri,pabaya panamuita.

Time is running out fast. Chadema wafanye uamuzi kuhusu hili.

It is like when Moses rested and Joshua sent the people across the Jordan.
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Licha ya Tundu Lissu kuwa mzalendo na mpigania haki na ukweli nchini kwa miaka mingi, jambo ambalo halina ubishi Watanzania wamemsaliti waziwazi. Ukweli ni kwamba, Watanzania wengi (Achana na wale wa X & JF wa mtandaoni) hawajawahi kumwona Tundu Lissu kama mkombozi (Kama Nyerere, Magufuli, Maalim Seif - Zanzibar) wao binafsi hata siku moja. Badala yake, wengi wao wanaichukulia CHADEMA kama chama cha ukombozi, na siyo Tundu Lissu kama mtu mmoja.Ndiyo maana ata akinyongwa Leo hii mahakamani hamna kitu watanzania watafanya kama walivokaa kimya baada ya kupigwa risasi Dodoma.
 
Na hao wenye mawazo ya kijinga kumtaka Mtanzania mwenzetu ahame nchi , mbona wao hakuna anaye waambia wahame?
 
Aende wapi?

Lissu ni mtanzania wa kuzaliwa , Ubelgiji aliishi kwa hifadhi ya ukimbizi wa kisiasa baada ya kuwa kwenye matibabu ya shambulio la risasi 32.

Kwa sasa hajaomba kwenda uhamishoni mkifanya hivyo kumlazimisha mtakuwa mmemfukuza mtanzania katika ardhi yake ya nyumbani.
 
Licha ya Tundu Lissu kuwa mzalendo na mpigania haki na ukweli nchini kwa miaka mingi, jambo ambalo halina ubishi Watanzania wamemsaliti waziwazi. Ukweli ni kwamba, Watanzania wengi (Achana na wale wa X & JF wa mtandaoni) hawajawahi kumwona Tundu Lissu kama mkombozi (Kama Nyerere, Magufuli, Maalim Seif - Zanzibar) wao binafsi hata siku moja. Badala yake, wengi wao wanaichukulia CHADEMA kama chama cha ukombozi, na siyo Tundu Lissu kama mtu mmoja.Ndiyo maana ata akinyongwa Leo hii mahakamani hamna kitu watanzania watafanya kama walivokaa kimya baada ya kupigwa risasi Dodoma.

..Watz bado hawajajenga ujasiri wa kupambana na watesi wao, au wa viongozi wao.

..Jambo hilo linachukua muda kulijenga kwa wananchi. Na ugumu wake unatokana na ukandamizaji wanaopitia, na ukweli kwamba ukandamizaji huo unafanywa na watu wa ndani.

..Ni rahisi kuwaunganisha wananchi dhidi ya wakandamizaji toka nje, kuliko wakandamizaji wa ndani.
 
Back
Top Bottom