figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Saafi sana. Hivi yeye haoni wajanja akina Lowasa na Sumaye wapo kimya, wakiongea wanalinda kauli zao. Upinzani siyo mihemuko, na huwezi kushindana na serikali, maana Lissu akumbuke kuwa wanasiasa huwa wanabadilishana lakini siyo watendaji wa serikali, hao hukaa mpaka kufikia umri wa kustaafu, huwezi ukalikashifu jeshi la polisi au jwt halafu ubaki uraiani wao wanafanya kazi bila kuangalia siasa.Mbunge wa Singida Mashariki Wakili Tundu Lissu anatuhumiwa na Jeshi la Polisi kufanya Uchochezi na kutoa lugha ya matusi. Polisi wamemnyima dhamana atafikishwa Mahakamani kesho.
Mbunge wa Singida Mashariki Wakili Tundu Lissu anatuhumiwa na Jeshi la Polisi kufanya Uchochezi na kutoa lugha ya matusi. Polisi wamemnyima dhamana atafikishwa Mahakamani kesho.
Makubwa Lissu amekuwa Mandela wa Tz?Hata Mandela alipita hatua kama hizi
Anyway,sio mbaya mradi ni chura kapigwa teke.
Acha kukurupuka ni lini Lissu amelikashifu jeshi la polisi, kama hujui kitu kaa kimya.Saafi sana. Hivi yeye haoni wajanja akina Lowasa na Sumaye wapo kimya, wakiongea wanalinda kauli zao. Upinzani siyo mihemuko, na huwezi kushindana na serikali, maana Lissu akumbuke kuwa wanasiasa huwa wanabadilishana lakini siyo watendaji wa serikali, hao hukaa mpaka kufikia umri wa kustaafu, huwezi ukalikashifu jeshi la polisi au jwt halafu ubaki uraiani wao wanafanya kazi bila kuangalia siasa.
Wanafiki huwajui?!Hakuwa mpuuzi kama hawa wanafiki akina Lissu.
Na alijua kuna uwezekano wakamnyima dhamana!Korokoroni nadhani ni moja ya ofisi ya lissu hivyo wanamuongezea ujuzi tuu