If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor. If an elephant has its foot on the tail of a mouse, and you say that you are neutral, the mouse will not appreciate your neutrality - Desmond Tutu #Najitofautisha, π π πKnowledge brings Wisdom. Siwezi kujibu tusi kwa tusi. Nitakuwa sina tofauti na mtukanaji. #Najitofautisha.πππ
Dereva yupo mwezini? Polisi wa kimataifa Interpol si wapo na kama ni uchunguzi mbona waliopiga risasi hawajakamatwa licha ya kujilikana kuwa makonda ndiyo mratibu wa Tukio, Acha kuvuta Bangi kisha kuja na visingizio vya kipumbavu kuwa alimficha Dereva wakati mlikuwa mnataka kumuua hata huyo Derevakwanini anamficha Dereva wake kama siyo kuogopa kuumbuka kwamba walipanga wenyewe yakaenda ndivyo sivyo
Kwani wao ndo wamemshikilia Lissu au ni serikali yenu chini ya Tozo binti Chura kiziwiMmeshafanya yenu Ili muisingizie serikali.
Hajaamka bado yupo Gheto kwa Amos makala kalala baada ya kuvuta bangi nyingi kalewaLucas atafanya tafrija!
Msemaji wa ibirisi ccm hawezi sema kweliSerikali kupitia kwa Msemaji wake, imeshauthibitia Umma kwamba Yuko salama!
Baba zako hao mwijaku na Baba levo muulize vizuri mama yakoLabda wa type ya mama yako
I hate those dudes as much as I hate drama za wanasiasa uchwarq mapapasi mnaozusha ujinga kila siku mitandaoni
Kwahiyo kama alipanga dereva kumuua Lissu na huyo dereva ndiye aliyesema pasiwepo na ulinzi siku ya tukio, ndiye aliyeamrisha vedio za CCTV zisiweze kufanyiwa uchunguzi? Kwanza panahitaji usalama wake ndio awepo kwasababu mtuhumiwa ni serikali. Lissu yupo ni lini aliyoitwa akahojiwa? Kuna mengi hutakuwa na la kujibu ila jitahidi kuwaza tu kidogo na sio kutumia propaganda.kwanini anamficha Dereva wake kama siyo kuogopa kuumbuka kwamba walipanga wenyewe yakaenda ndivyo sivyo
Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Walipanga kumlisha sumu, huenda tayari wameshampaNi usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Ndo gharama za kulinda tumbo hizo kwa maumivu ya wengineMkoloni kaburu toka Zanzibar anaitawala Tanganyika kimabavu kama ilivyokuwa Africa kusini, watanganyika wanataabika kwa mateso ya mkoloni kaburu, muungano ufe Tanganyika iwe Nchi huru
Hakuna serikali yenye interest ya kumpa sumu mtu aliye rumandeAcha porojo bwana mdogo,, mtu hawezi kujimaliza kwa kusema ukweli. That's called speaking truth to power, siyo kujiua kisiasa.
Shirikisha akili yako vizuri bwana mdogo, sumu haipitii kwa Rais, inapitishwa kimyakimya by invisible hands, especially kwa mtu mwenye history ya kutikisa system.Hakuna serikali yenye interest ya kumpa sumu mtu aliye rumande
Lissu is safer bila sumu
Nrne imepia au ccm imetumia mahakama kuipoza?Kilq siku mnaleta drama mpya baada ya kuona NRNE imepoa
At some point mlishamuua hasi makamu we tu wa rais
Ni lini mtajua na utu?
Kuna siku atajiua Halafu awaachie msala
IshajifiaNrne imepia au ccm imetumia mahakama kuipoza?
Kasiinge.πππππSiyo kweli Nina watu ABC pale alipo wanapenda mageuzi na wao ndo wanatoa taarifa zake daily ninazo information Jamaa yuko fiti, ni yeye vitabu na katiba
Britanicca
Kwani si yupo chini ya ulinzi wa serikali ?Mmeshafanya yenu Ili muisingizie serikali.