Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 23,149
- 20,715
.......Amshukuru kwa lipi wakati hadi leo bado kamnyima pesa zake za matibabu, "kamwambie Rais nashukuru sana" an ambiguous sentence.
......Kwa GT tu
.......Amshukuru kwa lipi wakati hadi leo bado kamnyima pesa zake za matibabu, "kamwambie Rais nashukuru sana" an ambiguous sentence.
mkuu ukitumia akili nyingi kufikiri utajua hapo alikua anamsanifu tuWanasiasa nyie mungu anawaona! Hamueleweki kwa kweli
mkuu ukitumia akili nyingi kufikiri utajua hapo alikua anamsanifu tu,,unaujua wema alomtendea ..think beyond the boxWanasiasa nyie mungu anawaona! Hamueleweki kwa kweli
Nawaza kama wewe,Mama ametumwa ili uwepo wake usafishe image ya rais.
Hivi unafahamu kwamba sasa Lissu anatibiwa na serikali baada ya kuachana na.mbwembwe za chadema?
Mnashangaza sana,mbona hamkuzuia mwenye serikali asimuone lissu kwa kuogopa atammalizia kufa?
Kwa akili hizi,kweli lazima uwe follower wa kimambe.Kafee mbele wewe uliambiwa hela ya serikali ni ya ccm,na kama sio ya ccm ni ya wananchi umshukuru raisi kwa lipi na ukujua yule ni mbunge acha upuuzi.
Ana maana ipi sasa, jana tu Lissu kamtuhumu Magufuli kahusika kumtia kilema halafu mtu huyo huyo akuambie nakushukuru (kwa kunitia kilema) kama wewe ni punguwani utafurahi lakini kama ni mzima lazima ujiulize mara mbilimbili.Hahahahahaha sema mmechukizwa sana na hili so lzm mtafsiri vibaya kutimiza matamanio ya mioyo yenu