Lissu amshukuru Rais Magufuli kwa wema aliomtendea

inawezekana hata huwa wanaongea kwa simu
ila jamaa apone arudi aungane na familia yake.
hakustahili hayo yaliyomkuta
 
IMG_20171128_191257.jpg
_20171128_191530.JPG
 
Kuna tatizo kubwa nchi hii,mtu unamuona kwenye picha halafu unadai kumfahamu kiundani kuliko mama yake!
 
Hakuna aliyeenda Nairobi kwa Lissu kutokea upande ule akarudi na akabaki salama.
 
Hivi unafahamu kwamba sasa Lissu anatibiwa na serikali baada ya kuachana na.mbwembwe za chadema?
Mnashangaza sana,mbona hamkuzuia mwenye serikali asimuone lissu kwa kuogopa atammalizia kufa?

Wacha uongo wa kishamba wewe lini serikali imegharamia matibabu ya TL?
 
Wat I know ni kwamba kiongozi yoyote wa chini ya rais, akiwa ni makamu au waziri mkuu, akifanya kitu kama hicho, au hata akienda msibani (bila uwepo wa rais) LAZIMA ATASEMA RAIS KAMTUMA SALAMU. Ni formality tu, na lazima iwe hivyo na ni lazima mhusika ashukuru tu. Kukataa kushukuru maana yake ni sawa umemtukana rais vile.

Rais hajawah kumfanyia chochote positive toka kuugua kwake, na nadhan anafurahi sana to see him still on bed. So Lissu has nothing to thank him for. Hyo shukurani kaitoa kwa sababu ya formality tu.
 
Sasa umefika wakati wa kutafsiri yaliyosemwa. Tafsirini kwa kadri ya hamu ya mioyo, lakini kilichosemwa kimesikika, nguvu ya serikali imeonekana.

Eti hakuna mtu kumuona TL, eti Nairobi ni sehemu salama, ujinga unazidi kuumbuliwa.

Serikali ingetaka kumdhuru Lissu ilikuwa na njia nyingi sio risasi, na kama ingetumia risasi wataalamu wetu wasingehitaji risasi zaidi ya mbili.

Ukitaka meza japo chungu, Lissu in kakitu kama upele tu kwenye system ya nchi.
 
Kafee mbele wewe uliambiwa hela ya serikali ni ya ccm,na kama sio ya ccm ni ya wananchi umshukuru raisi kwa lipi na ukujua yule ni mbunge acha upuuzi.
Kwa akili hizi,kweli lazima uwe follower wa kimambe.
 
Hahahahahaha sema mmechukizwa sana na hili so lzm mtafsiri vibaya kutimiza matamanio ya mioyo yenu
Ana maana ipi sasa, jana tu Lissu kamtuhumu Magufuli kahusika kumtia kilema halafu mtu huyo huyo akuambie nakushukuru (kwa kunitia kilema) kama wewe ni punguwani utafurahi lakini kama ni mzima lazima ujiulize mara mbilimbili.
 
Back
Top Bottom