Lissu amshukia Lowassa

Lissu amshukia Lowassa

...Lissu alisema kuwa baada ya Lowassa kuona hana sifa za uongozi kutokana na kuwa si muadilifu wala safi kulingana na tuhuma za ufisadi zinazomwandama ameamua kukimbilia makanisani akiwashawishi viongozi wa dini wamuuunge mkono kwa kigezo cha kuwa ni Mkristo mwenzao.

"Kuna makada wengine wa CCM nao wanazunguka huko misikitini wakisema hii ni zamu yetu sisi Waislam hivyo anashawishi wamchague kwa kigezo cha Uislam tu .Hawa watu wanasahau dini si kigezo wala sifa ya uongozi tuwakataeni, sijui wanalipeleka wapi hili Taifa zaidi wanatutafutia machafuko hawatufai wote hawa," alisema Lissu...
Haki ya Mungu siamini aisee. Khaa, ni Lisu huyu huyu?
 
Hapa niwe neutral, wakati cdm inamponda lowasa kuwa fisadi ccm walikuwa wanamtetea kuwa si fisadi, leo cdm wanamtetea lowasa kuwa sio fisadi, ccm inaponda kuwa ni fisadi, sasa ukiangalia haka kamchezo ni kama kuangalia muvi halafu ukadhania sterling atakufa kwakuwa ametekwa na maadui halafu unajikuta anawaua wote na muvi linaisha sterling akiwa hai, namaanisha wapo watazamaji wanaamini kabisa kuwa pamoja na kutekwa kwa sterling still ataokoka either kwa kujiokoa au kwa kuokolewa, na km ataokolewa either ma co-sterling watamuokoa au within maadui kuna ambaye/ambao watajitolea kumuokoa, yote hiyo ni ili tu muvi iishe sterling akiwa hai, wenye upeo nadhani mtakuwa mmenielewa point yangu ilipo

Alamsiki
 
Sikumbuki wapi walimtetea.......
Maana hakuwa anabebeka.
Ndiyo maana walifanya juu chini akatwe.....
Hapa Chadema mmmmm
 
Sikumbuki wapi walimtetea.......
Maana hakuwa anabebeka.
Ndiyo maana walifanya juu chini akatwe.....
Hapa Chadema mmmmm

Kuna tofauti kubwa kati ya waliomkata na waliomtetea, alikatwa kwa maslahi ya chama kutokana na ukweli uliopo kipindi hicho ambapo wapinzani waliamini kuwa lowasa ni fisadi,na kwakuwa hakukuwa na njia nyingine ya kuwaaminisha kuwa si fisadi(kumbuka ccm walikuwa wanamtetea kipindi hicho) so alikatwa kama kutolewa sadaka but hakukatwa kwakuwa ni kweli alikuwa fisadi ila ni kuondoa sintofahamu iliyopo
 
- duh makubwa haya sasa mmeanza kumshukia mwokozi wenu wallahi haya maaajabu najua huyo Lissu kesho ataitwa kuonywa na wakubwa wake Lowassa ahashambuliwi na Chadema hata siku moja, anyways nitamtafuta Lissu nimuulize kulikoni kama kweli haya ni kweli basi ana ujasiri sana!!

Le Mutuz
Mkuu tuliwabeza tukiwaamini viongozi wetu kumbe ulikuwa unatuchora tu ....ndio maana sitaki tena mambo ya vyama ....
 
Back
Top Bottom