bigest
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 340
- 166
Kubwa jinga Dodoma halipapendi japo ni kwao, limegeuka kuwa Kuwadi wa Bashite na dalali wa siasa CCMLe Mutuz Mtela huendi tena 2015?
Mwaka 2014 wakati uzi huu unatua JF wewe Le mutuz ndiyo ulikuwa busy na ukuadi kumendea vitoto kwenye matamasha ya school bash kwenye kumbi za Clouds- duh makubwa haya sasa mmeanza kumshukia mwokozi wenu wallahi haya maaajabu najua huyo Lissu kesho ataitwa kuonywa na wakubwa wake Lowassa ahashambuliwi na Chadema hata siku moja, anyways nitamtafuta Lissu nimuulize kulikoni kama kweli haya ni kweli basi ana ujasiri sana!!
Le Mutuz
Hahalisu at early stage
hii mwanasheria msomi kuliko wote duniani
Waliokuwa wakimtete ndio hao akina msalani aka mussa Allan na wengi amehama naoHapa niwe neutral, wakati cdm inamponda lowasa kuwa fisadi ccm walikuwa wanamtetea kuwa si fisadi, leo cdm wanamtetea lowasa kuwa sio fisadi, ccm inaponda kuwa ni fisadi, sasa ukiangalia haka kamchezo ni kama kuangalia muvi halafu ukadhania sterling atakufa kwakuwa ametekwa na maadui halafu unajikuta anawaua wote na muvi linaisha sterling akiwa hai, namaanisha wapo watazamaji wanaamini kabisa kuwa pamoja na kutekwa kwa sterling still ataokoka either kwa kujiokoa au kwa kuokolewa, na km ataokolewa either ma co-sterling watamuokoa au within maadui kuna ambaye/ambao watajitolea kumuokoa, yote hiyo ni ili tu muvi iishe sterling akiwa hai, wenye upeo nadhani mtakuwa mmenielewa point yangu ilipo
Alamsiki
Nyumbu katika ubora wake!