Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,055
- 6,777
Unamuuliza nani? Acha umbea mtoto wa kiumeHivi grace macha anafanya kazi na gazeti gani vil?
Unamuuliza nani? Acha umbea mtoto wa kiumeHivi grace macha anafanya kazi na gazeti gani vil?
Lisu jamani hajapona msaidieni kupata dawa au kumalizia dozi ile aliyopewa na kigwangala.
- duh makubwa haya sasa mmeanza kumshukia mwokozi wenu wallahi haya maaajabu najua huyo Lissu kesho ataitwa kuonywa na wakubwa wake Lowassa ahashambuliwi na Chadema hata siku moja, anyways nitamtafuta Lissu nimuulize kulikoni kama kweli haya ni kweli basi ana ujasiri sana!!
Le Mutuz
Kuna watu(magamba) siwaelewi kabisa humu jamvin, wanajibu kila post zaid ya mara 20, hawana majukum hau?
Nilikuwa napata tabu kujua huyu mtu anayejiita Simiyu yetu, ni wa namna gani, sababu hana mchango wa maana humu jamii forum, kama kweli ni msukuma aisee unawaaibisha wenzio walioelimika, ila tangu nimjue kitabia, namchukulia poa tu, yeye ni kuropoka tu ujinga utafikiri yupo anasukwa na mabini salon, lo!
- duh makubwa haya sasa mmeanza kumshukia mwokozi wenu wallahi haya maaajabu najua huyo Lissu kesho ataitwa kuonywa na wakubwa wake Lowassa ahashambuliwi na Chadema hata siku moja, anyways nitamtafuta Lissu nimuulize kulikoni kama kweli haya ni kweli basi ana ujasiri sana!!
Le Mutuz
- duh makubwa haya sasa mmeanza kumshukia mwokozi wenu wallahi haya maaajabu najua huyo Lissu kesho ataitwa kuonywa na wakubwa wake Lowassa ahashambuliwi na Chadema hata siku moja, anyways nitamtafuta Lissu nimuulize kulikoni kama kweli haya ni kweli basi ana ujasiri sana!!
Le Mutuz
Lisu jamani hajapona msaidieni kupata dawa au kumalizia dozi ile aliyopewa na kigwangala.
Kuna watu ukimwangalia unadhani ana akili timamu kumbe ni zuzu. Watu hao wanafanana na lissu
- duh makubwa haya sasa mmeanza kumshukia mwokozi wenu wallahi haya maaajabu najua huyo Lissu kesho ataitwa kuonywa na wakubwa wake Lowassa ahashambuliwi na Chadema hata siku moja, anyways nitamtafuta Lissu nimuulize kulikoni kama kweli haya ni kweli basi ana ujasiri sana!!
Le Mutuz
- duh makubwa haya sasa mmeanza kumshukia mwokozi wenu wallahi haya maaajabu najua huyo Lissu kesho ataitwa kuonywa na wakubwa wake Lowassa ahashambuliwi na Chadema hata siku moja, anyways nitamtafuta Lissu nimuulize kulikoni kama kweli haya ni kweli basi ana ujasiri sana!!
Le Mutuz
Na Grace Macha
KADA wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM) wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi, Edward Lowassa anadaiwa kutumia kigezo cha udini kutaka kuungwa mkono kwenye harakati za kukimbilia Ikulu jambo linalohatarisha amani ya nchi.
Aidha Rais Jakaya Kikwete ametakiwa kuweka hadharani majina ya watuhumiwa wa biashara ya madawa ya kulevya ambayo aliwahi kulitangazia Taifa kuwa anayo vinginevyo itakuwa ni vigumu kuondoa mashaka kuwa si mshirika wao.
Hayo yalisemwa juzi na Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Tundu Lissu na wakati akimnadi mgombea udiwani wa kata ya Sombetini, Ally Bananga kwenye viwanja vya Ngusero.
Lissu alisema kuwa baada ya Lowassa kuona hana sifa za uongozi kutokana na kuwa si muadilifu wala safi kulingana na tuhuma za ufisadi zinazomwandama ameamua kukimbilia makanisani akiwashawishi viongozi wa dini wamuuunge mkono kwa kigezo cha kuwa ni Mkristo mwenzao.
Kuna makada wengine wa CCM nao wanazunguka huko misikitini wakisema hii ni zamu yetu sisi Waislam hivyo anashawishi wamchague kwa kigezo cha Uislam tu .Hawa watu wanasahau dini si kigezo wala sifa ya uongozi tuwakataeni, sijui wanalipeleka wapi hili Taifa zaidi wanatutafutia machafuko hawatufai wote hawa, alisema Lissu.
Akizungumzia muswada wa madiliko ya katiba, Lissu alisema kuwa katiba inasema kuwa nchi ni moja lakini kwa sasa kuna Maamiri Jeshi wawili ambao mmoja ni Mwenyekiti wa CCM, Kikwete na mwingine ni Makamu wake, Dk Mohamed Shein jambo alilosema kuwa ni hatari sana hasa ikitokea wakitofautiana na kupishana kauli ilihali wote wanamajeshi.
JUHUDI ZA KUMPATA LOWASSA KUZUNGUMZIA MADAI HAYA ZILIGONGA MWAMBA BAADA YA SIMU YAKE YA KIGANJANI KUPOKEWA NA MTU MWINGINE AKIDAI MBUNGE HUYO WA MONDULI YUKO KIKAONI AMBAPO ALITAKA APIGIWE BAADA YA SAA MOJA.
ALIPOPIGIWA TENA SIMU HIYO ILIITA BILA KUPOKELEWA
- No way mimi ni businessman kaka sasa nawekeza kwenye media zaidi, huko siko kaka!! thanks!! nawekeza kwenye media ndio maana mpaka saa hizi nipo ofisini kaka kazi tu!!
- Mzima lakini maana wewe ni watu wa loong time humu, naona turudie tena yale mambo ya muziki kama zamani kuleeee au?
Le Mutuz