nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
teh teh, kigwangallah huyuhuyu? Ambaya ccm inajipanga kumtimua kwa sababu ya kupinga ufisadi?Lisu jamani hajapona msaidieni kupata dawa au kumalizia dozi ile aliyopewa na kigwangala.
teh teh, kigwangallah huyuhuyu? Ambaya ccm inajipanga kumtimua kwa sababu ya kupinga ufisadi?Lisu jamani hajapona msaidieni kupata dawa au kumalizia dozi ile aliyopewa na kigwangala.
Huyu lisu nae ni mnafik haioni chadema nayo ilivyojaa wachungaji . Chukua mfano dr slaa huyu ni ana doctorine ya theologia . Ungozi wao wote top level ni hao hao asimlaumu wakat chadema ipo kikanda na viongoz wao pia ni wakristo wote
Hivi dingi wako bado ana hasira na Lowasa kwa ile ishu ya wajepu?- duh makubwa haya sasa mmeanza kumshukia mwokozi wenu wallahi haya maaajabu najua huyo Lissu kesho ataitwa kuonywa na wakubwa wake Lowassa ahashambuliwi na Chadema hata siku moja, anyways nitamtafuta Lissu nimuulize kulikoni kama kweli haya ni kweli basi ana ujasiri sana!!
Le Mutuz
Lisu naye atulie akiendelea kumzungumza EL tunamwona mpuuzi kcihizi yaani
Lisu jamani hajapona msaidieni kupata dawa au kumalizia dozi ile aliyopewa na kigwangala.
hilo ndio jukumu lao, chezea buku 7 weweKuna watu(magamba) siwaelewi kabisa humu jamvin, wanajibu kila post zaid ya mara 20, hawana majukum hau?
Lissu yupo sahihi kabxa, udini haufai kabxa...na kw maon yangu Lowasa ni mabaki ya kina Balali na 'mjomba' hafai kuwa kiongozi wa tz, 2ache siasa na ushabiki tuambiane ukwel 2.
UTAFITI UNAONYESHA KWAMBA MH TUNDU LISSU NDIYE mwanasheria BORA KABISA KUWAHI KUWEPO KWENYE UKANDA HUU WA MAZIWA MAKUU TANGU KUUMBWA KWA MBINGU NA ARDHI.Tundu ni nabii..
Kwa hiyo unakubaliana na msimamo wake juu ya Lowasa?UTAFITI UNAONYESHA KWAMBA MH TUNDU LISSU NDIYE mwanasheria BORA KABISA KUWAHI KUWEPO KWENYE UKANDA HUU WA MAZIWA MAKUU TANGU KUUMBWA KWA MBINGU NA ARDHI.
Duh! Umeandika kisawasawa ama vidole viliteleza?huwa navutiwa sana na uchambuzi wako ''makini'',teh,teh
Na Grace Macha
KADA wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM) wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi, Edward Lowassa anadaiwa kutumia kigezo cha udini kutaka kuungwa mkono kwenye harakati za kukimbilia Ikulu jambo linalohatarisha amani ya nchi.
Aidha Rais Jakaya Kikwete ametakiwa kuweka hadharani majina ya watuhumiwa wa biashara ya madawa ya kulevya ambayo aliwahi kulitangazia Taifa kuwa anayo vinginevyo itakuwa ni vigumu kuondoa mashaka kuwa si mshirika wao.
Hayo yalisemwa juzi na Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Tundu Lissu na wakati akimnadi mgombea udiwani wa kata ya Sombetini, Ally Bananga kwenye viwanja vya Ngusero.
Lissu alisema kuwa baada ya Lowassa kuona hana sifa za uongozi kutokana na kuwa si muadilifu wala safi kulingana na tuhuma za ufisadi zinazomwandama ameamua kukimbilia makanisani akiwashawishi viongozi wa dini wamuuunge mkono kwa kigezo cha kuwa ni Mkristo mwenzao.
"Kuna makada wengine wa CCM nao wanazunguka huko misikitini wakisema hii ni zamu yetu sisi Waislam hivyo anashawishi wamchague kwa kigezo cha Uislam tu .Hawa watu wanasahau dini si kigezo wala sifa ya uongozi tuwakataeni, sijui wanalipeleka wapi hili Taifa zaidi wanatutafutia machafuko hawatufai wote hawa," alisema Lissu.
Akizungumzia muswada wa madiliko ya katiba, Lissu alisema kuwa katiba inasema kuwa nchi ni moja lakini kwa sasa kuna Maamiri Jeshi wawili ambao mmoja ni Mwenyekiti wa CCM, Kikwete na mwingine ni Makamu wake, Dk Mohamed Shein jambo alilosema kuwa ni hatari sana hasa ikitokea wakitofautiana na kupishana kauli ilihali wote wanamajeshi.
JUHUDI ZA KUMPATA LOWASSA KUZUNGUMZIA MADAI HAYA ZILIGONGA MWAMBA BAADA YA SIMU YAKE YA KIGANJANI KUPOKEWA NA MTU MWINGINE AKIDAI MBUNGE HUYO WA MONDULI YUKO KIKAONI AMBAPO ALITAKA APIGIWE BAADA YA SAA MOJA.
ALIPOPIGIWA TENA SIMU HIYO ILIITA BILA KUPOKELEWA