Hii sheria inamlinda mbunge awapo bungeni, i mean kama mbunge, lakin mbunge huyu afukuzwapo na chama chake basi hana chake tena, Anapoteza sifa ya ubunge na hata hiyo sheria haitoi ulinzi tena!
Atakuwa mbunge sawa ila si wa chadema.Ni vizuri watu waache ushabiki na kufahamu kuwa nchi yenu inaongozwa na Utawala wa sheria.Nilibainisha wazi katika thread iliyopita kuwa kama hawatakuwa na strong reason ya kumfukuza basi atalindwa na kinga za Bunge na ataendelea kuwa mbunge kama ilivyokua kwa Bi Naila Jidawi wa CUF
Jamani toeni source ili tuamini, halafu ndiyo tuijadili hii thread!!
Source kamanda wangu!?
we bweg.e nini? sasa kama habari unadhani wote tunayo unaileta hapa ya nini? Peleka shuzi lako kwa magamba wenzio! Pambaf!Ninyi mpo nchi gani? hata kama mko ulaya hamsomi mitandaoni habari za bongo? eeh! mnatia aibu kwanza yaelekea hamfahamu mahali anapofanyia shopping huyu Shibuda, sasa njoo hapa posta mpya barabara inayokwenda IFM oppsite na Embassy Hotel kuna duka la Imalaseco, njoo uongee naye Shibuda mwenyewe sasa hivi au toka hapo nyumbani kwenu nenda kibanda cha magazeti kaitafute hii habari uisome kwa undani we vipi bhana? unataka utafuniwe kila kitu halafu umeze tu, duuh! hapa tunapeana suna tu mkuu, mi nimekuchomolea tu hii kutoka chumba cha uhariri wa hili gazeti la harakati za mageuzi bongo, nipo hapa nachapa kazi, au nikupatie namba ya Shibuda mwenyewe, ila wabongo noma utaanza kumdisturb, just assure me utakuwa mvumilivu hata msimamo wake ukiwa tofauti na wako nikuunganishe naye sasa hivi mkuu!
we bweg.e nini? sasa kama habari unadhani wote tunayo unaileta hapa ya nini? Peleka shuzi lako kwa magamba wenzio! Pambaf!
Je munafikiri ni sababu hizi hapa juu tu zitatosha kumfukuza uanachama na hatimaye Ubunge wake?CDM ifanye maamuzi magumu ya kumwondoa shibuda ni mwiba mchungu ushahidi wa awali kutokushiriki kwake kwenye maandamano ya chama,hakuhudhuria mazishi ya wale vijana waliuwawa na polisi pale arusha,ni shibuda huyuhuyu hakuwepo wakati wa kususia hotuba ya jk bungeni,halafu akahudhuria hafla jioni yake alionekana akipeana mkono na jk.tunahitaji ushahidi zaidi??????.Aende tuu akavuliwe magamba,CDM itastawi tu bila shibuda,na wala yeye asijione mjanja sana kuliko wote CDM.
kwaio ulitaka aandike unachotaka ww au??kosa lake liko wapi mpaka umpuuze si anatoa maon yakeHapa jf hapakufai, jaribu kufanya uandishi huu katika mifumo mingine kama fb
kaka hiyo ni hela feki imeingia kwenye mashine ya kuhesabia hela benk,itatemwa na baada ya hapo hata wewe mkuu unajua ni nini kitafuatia.
Tulipojitolea kuionya CHADEMA tukaambiwa tukome lakini ukijaribu kupima nasaha zetu za wakati ule ni kama vile tulikuwa tunatoa unabii juu ya madhara ya CHADEMA kusomba makapi kutoka CCM, sasa nani asiyejua kuwa Shibuda anatumiwa na CCM?
Sasa yametimia kwani kwa kinywa chake mwenyewe Shibuda amerudia kauli zake mbili zenye utata, kwanza kasema kuhama msikiti sio kuacha uislamu na pili kawaambia wana CCM wenzake kuwa kule CHADEMA yuko uhamishoni hivyo wasihofu atarudi nyumbani tu!
Mkuu duh! Hali tata, SHIBUDA ATIMULIWE!
Hii ndio kila siku tunaandika hapa! wakianza kufukuzana hakuna atakaebaki...dah hii kitu wasiifanye ki papara namna hiyo wakae kwanza kwenye vikao vyao wasuluhishe au wamuonye kwanza wasianze kufukuzana itaharibu credibility ya chama.
hapa wengine sio wazima.Wewe na Slaa akili zenu sawa sawa, wewe unafananisha Mbunge na Mwenyekiti wa mtaa? Mbunge inamaana pia na ruzuku inapungua kichwa maji.
Kama CDM ni rusuku mie simo!Wewe na Slaa akili zenu sawa sawa, wewe unafananisha Mbunge na Mwenyekiti wa mtaa? Mbunge inamaana pia na ruzuku inapungua kichwa maji.
Ninyi mpo nchi gani? Hata kama mko ulaya hamsomi mitandaoni habari za bongo? eeh! mnatia aibu kwanza yaelekea hamfahamu mahali anapofanyia shopping huyu Shibuda, sasa njoo hapa posta mpya barabara inayokwenda IFM oppsite na Embassy Hotel kuna duka la Imalaseco. Njoo uongee naye Shibuda mwenyewe sasa hivi au toka hapo nyumbani kwenu nenda kibanda cha magazeti kaitafute hii habari uisome kwa undani we vipi bhana?
Unataka utafuniwe kila kitu halafu umeze tu, duuh! hapa tunapeana suna tu mkuu, mi nimekuchomolea tu hii kutoka chumba cha uhariri wa hili gazeti la harakati za mageuzi bongo, nipo hapa nachapa kazi, au nikupatie namba ya Shibuda mwenyewe, ila wabongo noma utaanza kumdisturb, just assure me utakuwa mvumilivu hata msimamo wake ukiwa tofauti na wako nikuunganishe naye sasa hivi mkuu.