Huo ndiyo ukweli. Kwanza mnafungulia mtu kesi ya kunyogwa kwasababu kawazidi kipaji cha kujieleza na uzalendo. Akifa huko jela kwa mashtaka ambayo ni ya upuuzi Mama Samia na serikali yake hawatakuwa na pa kukimbilia. Tunajua kesi zote za kisiasa na maagizo kutoka juu. Maana yake ni maagizo ya viongozi wa serikali