Lissu akifa leo wauaji ni serikali ya Samia

Lissu akifa leo wauaji ni serikali ya Samia

Saa Tisa usiku bado ako na siasa .hivi wake zenu wanawachukuliaje?
Wewe unadhani kila mtu usiku analala kwa kuwa wewe unalala unataka watu wasifanye kazi usiku.

Ukiugua ghafla usiku usupelekwe hospitali kwa kuwa unataka watu wote walale na wake zao kama wewe unavyolala.
 
Afe tu, hana faida yoyote.
Aiseeee! kweli tumefika mbali kwa spidi hii. Ingawa kujua kule tunakoelekea ni jambo bora kuliko spidi yetu. Na tukijua kuwa tunakoelekea ni kubaya ni bora tupunguze spidi na kubadili mwelekeo. (Our direction is better than our speed)
 
Na anapenda kuongelea mambo ya kihistoria ambayo hawapendi tuyakumbuke.

Speech ya mwisho, Mbamba Bay, Lissu kasema bunduki za kumpindua Sultani zilipandishwa kwenywe mtumbwi nyumbani kwa Kambona Msasani.

Nyumba ya Kambona, ule mtaa wote nyuma ni bahari. Alikuwa Waziri wa Ulinzi. Lakini Wazanzibar sidhani kama wanataka kukumbushwa nani kawakomboa, wanaringa ringa hapa for nothing kwa sababu ya mkataba wa kijinga wa Nyerere na Karume.

Halafu akasema kwenye maasi ya 1964, Kambona ndie alienda kuongea na majeshi, Nyerere alikimbilia Kigamboni. Hizi ni facts zinazomwaibisha baba wa Taifa.

Lakini humsikii Kambona popote, hawataki umjue, kisa aligombana na Nyerere alivyorudi kutoka China akajifanya nigga wa Kichina. Lissu kakumbushia vitu kama hivi. Inawakera sana. Hakuna mwingine anaongea haya.
Wanaukataa ukweli mchungu
 
Huo ndiyo ukweli. Kwanza mnafungulia mtu kesi ya kunyogwa kwasababu kawazidi kipaji cha kujieleza na uzalendo. Akifa huko jela kwa mashtaka ambayo ni ya upuuzi Mama Samia na serikali yake hawatakuwa na pa kukimbilia. Tunajua kesi zote za kisiasa na maagizo kutoka juu. Maana yake ni maagizo ya viongozi wa serikali
stan katabalo alikufa, mashoud Abiola alikufa, Ken Sarowiwa alikufa, General Ogola, Mohamed Morsi, africa hawaoni shida kukuua, niwewe kuamua
 
Back
Top Bottom