iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,206
- 10,145
Exactly đź’ŻReforms zifanyike tufanye Uchaguzi HURU na wa HAKI.
Exactly đź’ŻReforms zifanyike tufanye Uchaguzi HURU na wa HAKI.
Hahaha haha inauma eeh inauma eti inauma. Umeyataka mwenyewe si ulikuwa unashabikiwa sisi kuitwa nyumbu wavuta bange.Mimi sili chuma namla mamako.
Hayo mabadiriko ya haraka watayafanya kwa bunge gani? hili lijalo ambalo halitakiwi na Gen Z? Mseto hapana kwa kweli...Bila shaka itabidi wafanye marekebisho ya haraka... Ila tusidanganyike, huwezi kuwa mshirika wa serikali halafu hapo hapo ukawa mpinzani. CUF/ATC ndiyo waliingia kwenye huu mtego na upinzani wa Zenji umekufa moja kwa moja.
Wewe shoga toka lini uliona mimi nashabikia issue za siasa humu JF?si ulikuwa unashabikiwa sisi kuitwa nyumbu wavuta bange.
🤣🤣🤣Kina dogo The Icebreaker adriz Lucha, boxer zimetoboka kwa nyuma mavi yanagonga balaa mfulululizo utadhani cheche za volcano.
Wapo wengi wanaoishi kwa mazoea.walifikiri siku zote ni sawa. Kuna watu humu akiwemo Pascal mayala nilikuwa namwambia mwisho wa maji ni tope na lenye mwanzo lina mwisho leo hii hana kauli kwasababu walikuwa wanaona policcm ndio suluhu.
Huu umekuwa ndio mchezo wa kawaida hapo Kenya; sasa huyu mpumbavu anafikiri atafanikiwa kuuleta hapa pia!Bila shaka itabidi wafanye marekebisho ya haraka... Ila tusidanganyike, huwezi kuwa mshirika wa serikali halafu hapo hapo ukawa mpinzani. CUF/ATC ndiyo waliingia kwenye huu mtego na upinzani wa Zenji umekufa moja kwa moja.
Hayo maneno katika mstari wa pili; sijui kama umeyapanga kwa ufundi wako mwenyewe; au ni nukuu ya moja kwa moja toka kwa Tundu Lissu?Taarifa kutoka kwenye chanzo imara kabisa leo zimenifikia zikisema kuwa Tundu Lissu has rejected President Samia Suluhu Hassan’s offer ya kuundwa serikali ya mseto .
Jamaa anasema nipo kwenye mikono yenu ,mimi siyo bora kuliko wengine , nilichokisimamia ndicho ninachokiishi na ndicho nilicho na utayari nacho hata wakukifia kama wanachokifia wenzangu
Haya mambo yana mwisho wake, the one who laughs last, laughs best.Taarifa kutoka kwenye chanzo imara kabisa leo zimenifikia zikisema kuwa Tundu Lissu has rejected President Samia Suluhu Hassan’s offer ya kuundwa serikali ya mseto .
Jamaa anasema nipo kwenye mikono yenu ,mimi siyo bora kuliko wengine , nilichokisimamia ndicho ninachokiishi na ndicho nilicho na utayari nacho hata wakukifia kama wanachokifia wenzangu (huyu jamaa sijui anapataga taarifa na nani huko gerezani)
Taarifa inasema jamaa aliombwa akubali kutoka gerezani na akubali waunde serikali ya mseto (Power sharing government
Taarifa zinasema Lissu has instead demanded a fresh election, He insisting he must face President Samia directly on the ballot na kuwepo na wengine watakaopendekezwa na vyama vyao otherwise Jeshi lishikiliwe inji hadi hapo watakapoona mazingira yako sawa lakini siyo yeye kukubali kufanya kazi na hii serikali iliyokataliwa na Raia hiyo itakuwa nijutaka kumfanya yeye afanyike kuwa tauro la Damu.
Je! CCM watakubali kurudia Uchaguzi ?
Kama watakubali rudia Uchaguzi ,watakubali kufanya kwanza mabadiliko kwenye sheria za uchaguzi pamoja na reforms mbalimbali zikizokuwa zinapigiwa kelele ambazo kimsingi ndizo kiini cha yote haya?
Mwamba kakaza .
Kabisa yaaani lifumuliwe liundwe upyaUchaguzi bila mabadiliko ya msingi kwenye katiba ni bure, na jeshi la police lifumuliwe nje ndani lisiwe na influence ya wanasiasa au mtu yeyote, na vyombo vya usalama viwe na check and balance ili viwe wazi na wakivunja sheria wawajibishwe etc
Wewe binafsi unamtazama mtoa maneno kwa sura ya namna gani?Hayo maneno katika mstari wa pili; sijui kama umeyapanga kwa ufundi wako mwenyewe; au ni nukuu ya moja kwa moja toka kwa Tundu Lissu?
"...nipo kwenye mikono yenu, mimi siyo bora kuliko wengine, nilicho kisimamia ndicho ninacho kiishi na ndicho nilicho na utayari nacho hata wa kukifia kama wanachokifia wenzangu"
Haya ni maneno yenye maana kubwa, yakitoka kwa mtu mwenye msimamo thabiti juu ya anacho kiamini na kukisimamia.
Haya siyo maneno yanayosemwa hovyo hovyo tu na hawa wasaka fursa wengine wote.