am sorry!! hivi jamaa anayekushikia akili yako hajakurudishia!!??Ukweli ni kwamba chadema ndio wanaoleta vurugu vyuoni.kwanini kama kweli wanawapenda hao vijana kwa nini wasiwafundishe kukaa kwa amani hapo chuo?.hivi kweli cdm mnawajenga hawa vijana au mnawatumia kukidhi haja zenu za kisiasa?.Kama kweli mnawajenga kwa nini msiwasaidie kutatua migogoro yao kwa njia ya amani kuliko mnavyowachochea wakafanya vurugu na kufukuzwa vyuoni na wakaenda kutaabika mitaani?