Naomba tuweke mambo sawa kuhusu hizi vurugu vyuoni,hivi kama serikari ingetoa pesa kwa ajili ya kusomesha wanafunzi vyuoni,ikalipa pesa kwa ajili ya kufanyia mafunzo kwa vintendo,ikalipia vitabu nk.kuna mwanafunzi yeyote mwenye akili timamu akapata hamu ya kugoma?
Tusiongelee ushabiki ukweli ni kwamba wanafunzi wanakosa vitu vyao vya msing wakiwa chuoni na kukosa mtetezi wa kweli maana wanaojiita ni watetezi wamejaa siasa tu.hivyo akitokea mtu au chama kuonyesha njia mbadala lazima watawasikiliza na kuwapokea na hata kurudisha kadi.
Leo hii umeme ni bonge la tataizo atokee mtu na njia mbadala ya kupata umeme hatasikilizwa au kupendwa na wananchi?Tufanye kazi na tuache visingizio.