Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,747
- 12,462
Kama mzazi mwenye watoto wa kiume inaumiza mno...! Sijui mtoto kama huyo alianza lini? Nani alimfundisha? Je wazazi wanajua? Inauma
wazazi wake wanajua tena hawataki hata wamuone na mwanaume wanajua anaenda kumfanya, mwenyewe anajichukulia kama demu, akitembea mikono anaitupa huko, kibaya zaidi girls wanampenda sijui hata kwanini!.