Lisemwalo kuhusu Bongo movie

Lisemwalo kuhusu Bongo movie

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,076
Reaction score
859,168
1438677180436.jpg
 
huoni walivyojipamba kama warembo vile
 
Wahenga walituambia "Mwanzo wa ngoma ni lele" Wakarudi tena na "Dunia hadaa ulimwengu shujaa" Wakamalizia na "Chelea mwana kulia, hulia weye" Nami nasema 'LISEMWALO LIPO, KAMA HALIPO LAJA'
 
Ati ndio kioo cha jamii

nani kasema...!!kuna yule mwingine ndo alicheza live kabisa ila BASATA wakajishtukia wakakataa isiende hewani,kwahiyo hawa walikutana wapi au ndo location yenyewe
 
Wamepatia....wamependeza...wamependezana....wameendana.....!!!

hivi nikuulize swali la kizushi,nini kinapelekea mtoto wakiume akajipodao na kutaka kufanana na dada zake,hivi wana sukumwa na nini hawa wenzetu
 
Mh hii ni shida.
Basata Mupo.......?
 
hivi nikuulize swali la kizushi,nini kinapelekea mtoto wakiume akajipodao na kutaka kufanana na dada zake,hivi wana sukumwa na nini hawa wenzetu

Kuna wale ambao hawapaswi kulaumiwa sana kutokana na makuzi, yani familia nzima kidume ni yeye tuuu
Ukiwa na familia ya namna hiyo jitahidi sana mwanao asiwe kipenzi cha dada zake, kuwe na mipaka
Hawa wengine wengi ni kuiga wasivyovijua na mwisho kuzoea kabisa
Ishu za kuwa na ngozi nyororo,mikono laini, macho ya kulegea xtreme makeups, nguo za kung'aa sana, kunukia na usafi uliopitiliza sio sifa ya mwanaume anayejitambua
 
Back
Top Bottom