Lisaa La Pili Tumezuiliwa Hapa Chalinze, Kisa Misafara Ya Viongozi. Je, Hii Ni Sawa?

Kwanini kusiwe na barabara za Dharura ili katika hali kama hii zitumike ili kila mmoja awahi ratiba zake?
Nadhani watakua Wanawahi kuchota mafuta nasikia kuna lorry lingine lilianguka jana.
 
Kwanini kusiwe na barabara za Dharura ili katika hali kama hii zitumike ili kila mmoja awahi ratiba zake?

Vumilia tuu wakipita mtaruhusiwa, Barabara za matumizi ya kila siku zenyewe bado vumbi, ndo ziwepo za dharura?
 
cha msingi ni sote kupambana tupate madaraka ili tukabanane huko huko maoficn
 
Afrika hawajajua kuwa mda ni uchumi na kwamba kuupoteza ni kupoteza fursa ambayo haitakurudia tena kamwe maishani.
Halafu kwenye hali kama hiyo, utasikia eti kuna wananchi wamemsinamisha na akasimama. Acha tu tuendelee kugombania kusomba mafuta matenki yakipinduka. Ndio akili zetu zilipoishia.
 
LISAA NDIYO NINI?
KWENYE LUGHA YA KISWAHILI HAKUNA LISAA WALA MASAA
KISWAHILI FASAHA NI SAA.
 
Back
Top Bottom