Liquid Mercury! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Liquid Mercury!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Amoeba, Jun 17, 2010.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Wadau ee, mimi si mjuvi sana wa mawe, lakini kuna mzee mmoja anasema ana kitu kinaitwa mercury (red na white) kiasi cha 100gm, yeye anadai kuwa ni mali na amenituma nimwekee bango kwa yeyote mwenye uhitaji! sijaona madini menyewe kwa sababu mzee mwenyewwe yuko shamba, sasa napenda kujua kama kitu hiki ni thamanii ama la, na kama ni thamani nini thamani halisi ya mercury kwa gm na itauzwa wapi? thanks
   
 2. A

  Amwanga JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2010
  Joined: Jan 11, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mercury ni chemical hatari sana. Of course ni dili kwa ajili ya kutenganisha dhahabu na ni miongoni mwa vitu vinavyotumika kuharibu mazingira. Inatumika katika matumizi mengi hata kutengeneza silaha hatari. Inatumika sana kwenye udakaji wa dhahabu kwa wachimbaji wadowadogo, europe ni marufuku kutumiwa but kwa developing countries ni dili kwani hapo unawza pata zaidi 2M I guess.
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  bwana nashukuru sana mkuu, hv unaweza kuniunganisha na mtu yeyote anayenunua hii kitu? Huyu mzee anadai yeye anaaweza kusupply kilo kadhaa za hii kitu kila baada ya miezi minne!!!
   
 4. K

  Kasungura Member

  #4
  Jul 5, 2010
  Joined: Mar 12, 2007
  Messages: 72
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Amoeba, ningependa kukushauri jambo moja tu. huyo mzee anataka kukupiga, (kukutapeli). sijui kiuchumi umekaa vipi, lakini hata pesa ulizonazo utazipoteza ktk deal zisizo na kichwa wala miguu. narudia achana naye kabisa huyo mzee.
  kama unahitaji zaidi ni PM.
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Huyo mzee anakudanganya sana, that thing red mercury is almost impossible kupatikana because its application and availability is related to witchcraft (not gold extraction related) and no one knows exactly how much it costs.

  Drop this business, you are just chasing the figments of his immaginations. I have met a lot of people ambao wanalia kwa hasara walizopata kuchase hii kitu, my young brother being one of them.

  Huu ni ushauri wa bure!!
   
Loading...