Wanaompa maagizo
huoni alikuwa analindwa na polisi?
jiulize polisi wanawezaje kumlinda mtu bila 'amri kutoka mamlaka ya juu'?
Mkuu The Boss, hakuna blackmail yoyote bali amejichanganya tuu kwa kupagawa baada ya lile fungu kuisha.
Prof. Lipumba japo kitaaluma ni mchumi, ila kiukweli he is a politician by professional, ameifanya siasa ndio ajira yake ya kudumu na hana shughuli nyingine yoyote ya kufanya, au jambo jingine lolote la kufanya ili kuendesha maisha kama yule dr mihogo!.
Mtu amegombea mara 4 na zote amekataliwa hakuwahi kupata hata asilimia 5% lakini kila baada ya miaka 5 lazima awe mgombea wa CUF hadi kufikia yeye na sharubu kujihesabu wao ndio wagombea pekee wa kudumu wa CUF kwenye urais, ndio maana kuliko kukosa kugombea, bora apokee kile kidogodogo cha CCM, na kujitoa ili CUF ivunjike!, kajitoa, CUF haikuvunjika!, fungu alilopewa ni kiduchu tuu!, afadhali mwenzake kapewa mkataba mrefu, yeye fungu limeishamuishia na hana namna nyingine yoyote ya kuendesha maisha yake!.
Sasa CUF wasipomrudisha atafanya nini kingine?!, kwa sababu ubunge au udiwani hawezi kupata kwa sababu hachaguliki!, unategemea nini kwa mtu kama huyu?!, hivyo juhudi zote unazoziona za kumrejesha ni kwa sababu he has nothing else to do.
Ninawaomba CUF please mrudisheni tuu Prof. Lipumba kwenye nafasi yake vinginevyo atapata psychological depression na hatimaye kuja...
Pasco
ONLY IN TANZANIAI have never met a situation where a Phd holder cum a Professor being brainwashed by green party zealots
What a shame
Kwani kazi ya POLISI ni nini?
Hujui propaganda za kisiasa Dk Slaa akamkaribisha wapi Lowassa? Elewa Lowassa alienda Chadema kila kitu kikiwa kimeishatafunwa hata yeye alimpokea kama dodoki tu hakuwa na cha kufanya.Kumbuka kuwa yeye ndiye aliyemkaribisha na sisi tuliokuwepo tunajua kila kitu.. Swali la kujiuliza ni kwanini baada tu ya kumaliza huo mpango akasaliti?
Kimsingi CUF ilianzishwa bara...
Hivi mnamkumbuka Lamwai?
Mnamkumbuka alivyokuwa anaikosesha usingizi serikali ya Mkapa?
Halafu siku moja tukasikia 'ameenda kumuomba Mkapa radhi hadharani'?
Na picha zikatoka kwenye magazeti akiomba radhi?
Mwisho akapewa ubunge....?
Mpaka leo huwa bado namkumbuka Lamwai....alibanwa kila njia hadi 'akasalimu amri'
Baada ya kuona leo Lipumba yuko na polisi lakini body language yake na sura yake ni kama 'anapokea tu maagizo' kama anayoyafanya 'hayako moyoni'
Nimejiuliza isije kuwa yuko 'blackmailed'?
Watu wakiwa 'blackmailed' hufanya jambo kinyume na utashi wa roho yake....kwa kuhofia tu akikataa 'watamkomesha'
Lipumba sio mtu wa kukusanywa na kina Kambaya na kupewa tu maagizo fanyeni hiki.
Lipumba shughuli zake za kiuchumi anahitajika dunia nzima.
Inakuaje leo anakusanywa na watu wa kukodi kwenda kuharibu mkutano?
kuna nini?
Hata yeye Lipumba ukimtazama sura ni kama yuko way uncomfortable kabisa na kinachoendelea lakini ndo 'hana jinsi' inabidi 'awatii' 'the people behind' ili tu 'wasimkomeshe.
Tusije kuwa tunamlaumu 'the victim' tu hapa.
Pasco maoni na ushauri wako si sahihi. Lipumba is not desperate to that level. Lipumba ni kiongozi wa TANU Youth League - enzi Kikwete akiwa mwenyekiti (UDSM 1973). Lipumba alitokea Tabora Boys (PCM) akiwa na akina Mukandala na Kaberuka. Hao wote walipata div.I F.6 PCM lakini hakuna aliyeslma Engeneering. Hiyo haikuwa accident either; Mukandala alisoma political science na Lipumba na Kaberuka walisoma Arts -Economics. Wote walikuwa recruited tangu wakiwa Tabora boys. Lipumba yuko kazini. Hints:Mkuu The Boss, hakuna blackmail yoyote bali amejichanganya tuu kwa kupagawa baada ya lile fungu kuisha.
Prof. Lipumba japo kitaaluma ni mchumi, ila kiukweli he is a politician by professional, ameifanya siasa ndio ajira yake ya kudumu na hana shughuli nyingine yoyote ya kufanya, au jambo jingine lolote la kufanya ili kuendesha maisha kama yule dr mihogo!.
Mtu amegombea mara 4 na zote amekataliwa hakuwahi kupata hata asilimia 5% lakini kila baada ya miaka 5 lazima awe mgombea wa CUF hadi kufikia yeye na sharubu kujihesabu wao ndio wagombea pekee wa kudumu wa CUF kwenye urais, ndio maana kuliko kukosa kugombea, bora apokee kile kidogodogo cha CCM, na kujitoa ili CUF ivunjike!, kajitoa, CUF haikuvunjika!, fungu alilopewa ni kiduchu tuu!, afadhali mwenzake kapewa mkataba mrefu, yeye fungu limeishamuishia na hana namna nyingine yoyote ya kuendesha maisha yake!.
Sasa CUF wasipomrudisha atafanya nini kingine?!, kwa sababu ubunge au udiwani hawezi kupata kwa sababu hachaguliki!, unategemea nini kwa mtu kama huyu?!, hivyo juhudi zote unazoziona za kumrejesha ni kwa sababu he has nothing else to do.
Ninawaomba CUF please mrudisheni tuu Prof. Lipumba kwenye nafasi yake vinginevyo atapata psychological depression na hatimaye kuja...
Pasco
Mkuu The Boss, hakuna blackmail yoyote bali amejichanganya tuu kwa kupagawa baada ya lile fungu kuisha.
Prof. Lipumba japo kitaaluma ni mchumi, ila kiukweli he is a politician by professional, ameifanya siasa ndio ajira yake ya kudumu na hana shughuli nyingine yoyote ya kufanya, au jambo jingine lolote la kufanya ili kuendesha maisha kama yule dr mihogo!.
Mtu amegombea mara 4 na zote amekataliwa hakuwahi kupata hata asilimia 5% lakini kila baada ya miaka 5 lazima awe mgombea wa CUF hadi kufikia yeye na sharubu kujihesabu wao ndio wagombea pekee wa kudumu wa CUF kwenye urais, ndio maana kuliko kukosa kugombea, bora apokee kile kidogodogo cha CCM, na kujitoa ili CUF ivunjike!, kajitoa, CUF haikuvunjika!, fungu alilopewa ni kiduchu tuu!, afadhali mwenzake kapewa mkataba mrefu, yeye fungu limeishamuishia na hana namna nyingine yoyote ya kuendesha maisha yake!.
Sasa CUF wasipomrudisha atafanya nini kingine?!, kwa sababu ubunge au udiwani hawezi kupata kwa sababu hachaguliki!, unategemea nini kwa mtu kama huyu?!, hivyo juhudi zote unazoziona za kumrejesha ni kwa sababu he has nothing else to do.
Ninawaomba CUF please mrudisheni tuu Prof. Lipumba kwenye nafasi yake vinginevyo atapata psychological depression na hatimaye kuja...
Pasco
Sio upinzani tu ni tatizo la kitaifa, hata ndani ya ccm kuna watu wapo kwa maslahi yao binafsi au kufwata mkumbo lakini hawaamini katika itikadi ya chama chao na wengine hawaijui kabisa.Tanzania hakuna Upinzani
Sasa'apo unasemaje ka-blackmailiwa badala ya kusema yeye ndiye aliyeki-blackmail Cuf! Usahihi ni upi?Wanaompa maagizo
huoni alikuwa analindwa na polisi?
jiulize polisi wanawezaje kumlinda mtu bila 'amri kutoka mamlaka ya juu'?
Nasikia hata kuamua kujiuzuru si nia yake kwa mapenzi yake,alishinikizwa kama wazaramo wanavyoshinikizwa kuhama makwao, katikati ya Dar. Mtu anafukuzwa kwa dau! "Chukua mil.50,kesho uhame nisikuone hapa" Ndivyo alivyoshinikizwa kuachia ngazi.Dhambi ya usaliti ndio inayomtesa