Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,709
- 1,735
Ninavoona Lipumba sawa na akina Manji na Mo wanaong'ang'ania vilabu vya Yanga na Simba. CUF sasa inamzigo wa ruzuku baada ya kuwa na wabunge wengi hasa Tanganyika hivo kwa kuwa yeye ni profesa wa uchumi anaikodolea macho hiyo ruzuku.Ninaomba anayemwelewa Lipumba anisaidie. Tatizo lake ni nini? Anachotaka ni nini hasa? Kama CUF ni yeye, na cuf hawamtaki, na bila yeye cuf haipo, kwa nini asianzishe chama kingine hao ambao wanamtegemea yeye wamfuate ili iwe mbadala wa cuf inayokufa bila yeye?