Lipumba: Sina mpango wa kuhama, bila mimi CUF haipo

Lipumba: Sina mpango wa kuhama, bila mimi CUF haipo

--"bila mimi cuf itakufa"don't he feel shame!...who is he?/
CUF IPO IMARA TENA IMARA KWELI-KWELI.
 
Amesema ametumia muda wake mwingi kuijenga CUF kuwa chama imara na bila yeye CUF itakufa.

Ameongeza hana mpango wa kuihama CUF.

Magazetini RFA.
CCM chukueni hatua za haraka kumnusuru lipumba , hali yake siyo nzuri .
 
Ana hoja nzito msikilize alichokiongea Leo clouds FM ndo utaaelewa kuwa huyu jamaa ni professor kweli
 
Back
Top Bottom