Lipumba: Sina mpango wa kuhama, bila mimi CUF haipo

Lipumba: Sina mpango wa kuhama, bila mimi CUF haipo

Nadhani sasa Prof anakoenda sio kuzuri. Hivi mbona anatumia nguvu nyingi sana kuirudia nnafasi ya mwenyekiti? Kwani hawezi kukijenga chama akiwa mwanachama wa kawaida? You can't eat a cake and have it!
 
Kama ameijenga cuf why now anataka kukibomoa na tayari amekibomoa wakati wa uchaguzi mwaka 2015, huyu profeseri anakosa pakushika
 
Amesema ametumia muda wake mwingi kuijenga CUF kuwa chama imara na bila yeye CUF itakufa.

Ameongeza hana mpango wa kuihama CUF.

Magazetini RFA.
Prof. Bila wewe wamepatikana wabunge wengi upande wa bara kuliko wakati wowote. Hilo unalisemeaje Prof?????
 
Hata Zitto alisema hivyo hivyo, Sina mpango wa kuondoka Chadema.

Anaongea hivyo huku akivuta muda wa kuingia kule.
 
tatizo aliweka maagano na "frimaso",until he plays his part is when they we will cut him loose!!!!!!!!alidhani cha wanaume kinaliwa bure,kama namuona alivyokuwa anakula bata rwanda....mwenzie yupo canada anakula mihogo ya kizungu,yeye alidharaulika na kuonekana levo yake ni kigali.
 
ANC imeendelea kuwepo licha ya waliokipigania mpaka kufungwa na wengine kama Stive Biko na Chriss Han kuuawa sembuse yeye aliekipigania kwa kuzunguka na Vx labda iwe Saccos sio chama cha siasa kinaweza kufa...
 
Amesema ametumia muda wake mwingi kuijenga CUF kuwa chama imara na bila yeye CUF itakufa.

Ameongeza hana mpango wa kuihama CUF.

Magazetini RFA.
Kwa hiyo siku yeye akifa na CUF inakufa siku hiyohiyo...........???
 
Amesema ametumia muda wake mwingi kuijenga CUF kuwa chama imara na bila yeye CUF itakufa.

Ameongeza hana mpango wa kuihama CUF.

Magazetini RFA.

!
!
Njaa sio nzuri kabisa. Le Profeseli anakuwa kama graduate wa standard Seven.
 
Mtu hawezi kuwa juu ya taasisi siku zote, Lipumba alijiuzulu kipindi ambacho wengi hatukutalajia kwa kuwa aliamua ni vema akaanzishe chama kingine
 
Amesema ametumia muda wake mwingi kuijenga CUF kuwa chama imara na bila yeye CUF itakufa.

Ameongeza hana mpango wa kuihama CUF.

Magazetini RFA.
Amesimamishwa uanachama sasa anang'anga'nia nini? Alitelekeza chama kikiwa vitani,,
 
Huyu naye ameshaanza kuchanganyikiwa bila yeye hakuna CUF. Alipoondoka kwenye kipindi cha uchaguzi alitegemea nini? mnafiki mkubwa huyu
 
Mtu hawezi kuwa juu ya taasisi siku zote, Lipumba alijiuzulu kipindi ambacho wengi hatukutalajia kwa kuwa aliamua ni vema akaanzishe chama kingine
ACHA UCHADEMA MWAMBIE MWENYEKITI WAKO ACHIE NGAZI KWANZA
 
Back
Top Bottom