Amesema ametumia muda wake mwingi kuijenga CUF kuwa chama imara na bila yeye CUF itakufa.
Ameongeza hana mpango wa kuihama CUF.
Magazetini RFA.
Halafu anasema haondoki ng'oNinaomba anayemwelewa Lipumba anisaidie. Tatizo lake ni nini? Anachotaka ni nini hasa? Kama CUF ni yeye, na cuf hawamtaki, na bila yeye cuf haipo, kwa nini asianzishe chama kingine hao ambao wanamtegemea yeye wamfuate ili iwe mbadala wa cuf inayokufa bila yeye?
Amesema ametumia muda wake mwingi kuijenga CUF kuwa chama imara na bila yeye CUF itakufa.
Ameongeza hana mpango wa kuihama CUF.
Magazetini RFA.
Chadema hamtaki kabisa Lipumba arudi,kwa nini mnamuogopa?CUF msikubali huyo kibaraka awavuruge..chonde..
Amesema ametumia muda wake mwingi kuijenga CUF kuwa chama imara na bila yeye CUF itakufa.
Ameongeza hana mpango wa kuihama CUF.
Magazetini RFA.
mbona alikimbia mapigano wakati CUF inamhitaji kwenye uchaguzi na bado CUF ikaendelea!Amesema ametumia muda wake mwingi kuijenga CUF kuwa chama imara na bila yeye CUF itakufa.
Ameongeza hana mpango wa kuihama CUF.
Magazetini RFA.