Bitabo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 1,900
- 690
safi sana prof wa ukweli,you deserve to be president
Kidongo chekundu ni nchi na Rais wao ni Lipumba
safi sana prof wa ukweli,you deserve to be president
Akiongea akiwa studio za Channel ten mwenyekiti wa CUF taifa Mzee Lipumba amewasihi waislam kesho wasiandamane mara baada ya kuswali swala ya Ijumaa.
Amesema haki ya kuandamana ni haki ya kikatiba lakini inaonekana haki hiyo inapokonywa na watawala.
"Nawasihi Waislam mara baada ya salatjumaa(sijui kama nimeitamka sawasawa) watulie waendelee na shughuli zao sisi tunafuatilia mipango ya dhamana" alisema Lipumba akiwabembeleza kwa Unyeyekevu Waislam.
Haya ndugu zangu waislam mwenyekiti wa chama chetu ametuomba tusiandamane
Kama ambavyo hukujua kuwa CDM ni chama cha kikristo pale walipokuwa wakimpigia debe Dr Ulimboka! Ngoma droo, inabalance tu kutokana na mawazo yako. Kwani tatizo liko wapi?
watajazwa ujinga huko msikitini lazima wataandamana tu...lipumba akumbuke yeye ni professa kasoma ana uwezo wa kufikiri...wengi wao watakaokua huko msikitini hawana huo uwezo wa kufikiri nakuona jambo hili ni zuri au baya
wewe **** nani alikuambia msikitini wanajazwa ujinga chunga fikra zako mtoto wa zinaa wewe
sasa unabisha nini..mngekua hamjazani ujinga na upumbavu msingekua mnafanya mnayoyafanya sasa hivi...
Sikujua kuwa Lipumba ni mwenyekiti wa chama cha waislamu!
hawatamsikiliza .watasema katumwa na wakristo.
Kama ambavyo hukujua kuwa CDM ni chama cha kikristo pale walipokuwa wakimpigia debe Dr Ulimboka! Ngoma droo, inabalance tu kutokana na mawazo yako. Kwani tatizo liko wapi?
Sijasikia Mkristo yeyote akimuita Mbowe "mwenyekiti wa chama chetu" wakati anaongelea issues za Wakristo wa dhehebu lolote lile. Furthermore, sijawahi kumsikia kiongozi yeyote wa CHADEMA akihimiza Wakristo wajiunge na CHADEMA. But on the contrary, kwenye uzi huu huu kuna mtu kamuita Lipumba "mwenyekiti wetu" wakati issue inayoongelewa ni dhamana kwa waislamu na pia tumeshasikia wito kwa waislamu (sio Watanzania mind you - na si kila Mtanzania ni muislamu again mind you) kujiunga na cuf. So what does that tell you?
tumekusikia Prof wa ukweli hatutaandamana mkuu.. polisi wamshukuru Lipumba kesho ilikuwa zamu yao kulia. wangeleta jwtz tena kesho.
Kama ambavyo hukujua kuwa CDM ni chama cha kikristo pale walipokuwa wakimpigia debe Dr Ulimboka! Ngoma droo, inabalance tu kutokana na mawazo yako. Kwani tatizo liko wapi?
kwa hiyo Pr.Lipumba mnamsikiliza kuliko masheikh na wanazuoni? aibu gani hii ?mtakanushaje uvumi wa siku nyingi kuwa Ponda +uamsho=CUFtumekusikia Prof wa ukweli hatutaandamana mkuu.. polisi wamshukuru Lipumba kesho ilikuwa zamu yao kulia. wangeleta jwtz tena kesho.
hii ni dharau na unafiki kwa waislamu.
Dharau;ina maana waislamu ambao tuliambiwa ni wengi Tanzania hii wameshindwa kuwawekea dhamana ?
Unafiki;haki ya kuandamana imepokwa na lipumba anayewataka wasiandamane!
Akiongea akiwa studio za Channel ten mwenyekiti wa CUF taifa Mzee Lipumba amewasihi waislam kesho wasiandamane mara baada ya kuswali swala ya Ijumaa.
Amesema haki ya kuandamana ni haki ya kikatiba lakini inaonekana haki hiyo inapokonywa na watawala.
"Nawasihi Waislam mara baada ya salatjumaa(sijui kama nimeitamka sawasawa) watulie waendelee na shughuli zao sisi tunafuatilia mipango ya dhamana" alisema Lipumba akiwabembeleza kwa Unyeyekevu Waislam.
Haya ndugu zangu waislam mwenyekiti wa chama chetu ametuomba tusiandamane
And you who are you trying to fool? umejitendea haki kwa kusema siasa za bongo unazifuatlia kidogo.Aliyekwambia waumini wa Sumbawanga walitengwa kwa kutoipigia kura CDM nani? mgogoro wa Sumbawanga ulitokana na mgombea wa CCM kutoa maneno ya kashfa kwa ukristo kwa kutumia maneno ya kikristo kujikweza kisiasa jambo lililokwaza kanisa usipotoshe mkuu.Kuhusu Slaa kuwa ex Padri hakumzuii kuwa mwanasiasa hata kugombea urais ndo maana tulikuwa na marais AL HAJI.Who are you trying to fool? Mimi ni Mtanzania kama ulivyo wewe na siasa za bongo nazifuatilia japo kidogo. Hoja kuwa hujasikia, it does not mean kwamba hakuna wapo wengi and I accidentally got the message from your fellows in 2010 elections mlipokuwa mkimpigia chapuo padri. Mtatuua jamani kwa huu udini wenu. Hukusikia Sumbawanga ambapo waumini wa kanisa walitengwa kwa sababu hawakiungi mkono chadema. Dodosa uambiwe, usikimbilie hoja nyepesi za kusingizia wengine udini huku ukiwa unaficha wa kwako. Binafsi nimeshtuka!
hapo kwenye red ndio unadhihirisha dalili zote tatu za mnafiki.ume post kikejeli ukijifanya nawe miongoni mwa waislam.poor you