Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,146
- 7,409
uamsho at work
safi sana prof wa ukweli,you deserve to be president
chama cha kigaidi
Who are you trying to fool? Mimi ni Mtanzania kama ulivyo wewe na siasa za bongo nazifuatilia japo kidogo. Hoja kuwa hujasikia, it does not mean kwamba hakuna wapo wengi and I accidentally got the message from your fellows in 2010 elections mlipokuwa mkimpigia chapuo padri. Mtatuua jamani kwa huu udini wenu.
Hukusikia Sumbawanga ambapo waumini wa kanisa walitengwa kwa sababu hawakiungi mkono chadema. Dodosa uambiwe, usikimbilie hoja nyepesi za kusingizia wengine udini huku ukiwa unaficha wa kwako. Binafsi nimeshtuka!
kweli ni tatizo kubwa sana juu ya uelewa wa baadhi ya watu. Na hili inawezekana ni tatizo labda la mfumo wa elimu zetu maana kwa wao waislam wanaona ni kweli wanaonewa.
nakupongeza sana kwa kugraduate kwenye chuo kikuu cha wajinga duniani. prudent people do not speak like you do!Hongera Lipumba. Jk anasahau kwamba wakiristo 2010 walimotosa. harakati za Akina Ponda ndio waliomfanya arudi Ikulu. DPP kumbe yakiwa maswala ya waislam anatumia sheria lkn yakija maswala ya MAFISADI unamsikia anatoa kwikwi. waislam watz hawakuanza kuteswa na KIKWETE, wote wanafuata sera tu
Kama ambavyo hukujua kuwa CDM ni chama cha kikristo pale walipokuwa wakimpigia debe Dr Ulimboka! Ngoma droo, inabalance tu kutokana na mawazo yako. Kwani tatizo liko wapi?
Kama ambavyo hukujua kuwa CDM ni chama cha kikristo pale walipokuwa wakimpigia debe Dr Ulimboka! Ngoma droo, inabalance tu kutokana na mawazo yako. Kwani tatizo liko wapi?