Lipumba: CUF itawawekea dhamana akina Ponda

Lipumba: CUF itawawekea dhamana akina Ponda

CUF kama chama hawakupaswa kujiingiza kwenye mambo haya. Kwanini wasiteue watu wao wakaenda kuwadhamini kama watu binafsi? Hii ingawa si kweli itathibitisha kashfa za CCM kuwa CUF ni chama cha kidini au kina udini. Je huu ni mwanzo wa kuvunjika kwa ndoa ya CCM na CUF? Endeleeni kubomoana. Vita ya panzi ati.

Mtoa mada ni mnafiki lipumba hakusema cuf itamwekea dhamana ponda ila alisema haki ya kupata dhamana ni ya kila mtu alichowasii wananchi na waislam alisema wasiandamane
 
Na pale walipokua wanatetea haki ya dhamana (haki kikatiba) kwa shekh Ponda (muislam)
(kupitia M.marando) walikua wanaendeleza ukristo au, tuache mambo ya udin sisi wote ni ndugu jaman
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom