Lipumba: CCM na Chadema hawaiwezi rushwa!

Lipumba: CCM na Chadema hawaiwezi rushwa!

Amesema hayo mkoani morogoro ambapo amedai kua ccm na chadema ni vyama vilivyojaa mafisadi hivyo havina uwezo wa kupambana na rushwa amesema cuf ndio chama sahihi kupinga ufisadi nchini.
Na wezi wa ruzuku wako wapi?
 
Yupo kwenye mission maalumu! Anajijua hana impact ila kwa kuvuruga anaweza kwani waliomtuma hawana shaka nae
 
Back
Top Bottom