The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,903
- 2,884
Amesema hayo mkoani morogoro ambapo amedai kua ccm na chadema ni vyama vilivyojaa mafisadi hivyo havina uwezo wa kupambana na rushwa amesema cuf ndio chama sahihi kupinga ufisadi nchini.
Kasema hivyo kwasababu kafanikiwa kuasi na kuchota ile ruzuku au.........?Amesema hayo mkoani morogoro ambapo amedai kua ccm na chadema ni vyama vilivyojaa mafisadi hivyo havina uwezo wa kupambana na rushwa amesema cuf ndio chama sahihi kupinga ufisadi nchini.
Si kasema ni cuf au umecoment bila ya kusomaHivi li pumba ni wachama gani vile ¡¿
Cuf ipi.... Mbona ishamtimuaSi kasema ni cuf au umecoment bila ya kusoma
Msajili wa vyama vya siasa alisema Lipunba ni M/ Kiti halaliCuf ipi.... Mbona ishamtimua
Kati ya msajili na baraza kuu la cuf lipi lenye uhalaliMsajili wa vyama vya siasa alisema Lipunba ni M/ Kiti halali
Nakupa 100%Yeye sio fisadi na CUF ipi ya kupambana na ufisadi? Waliomtuma arudi akawambie watanzania wa sasa sio wale wa jana tunajua nyeusi na nyeupe ni IPI asitudanganye hatudanganyiki
Kamati kuu kuna unyanyasaji msajili ndio mtoa hakiKati ya msajili na baraza kuu la cuf lipi lenye uhalali