BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,532
- 11,028
Cuf B mkuu,hivi lipunba yupo cuf ipi?
Cuf B mkuu,hivi lipunba yupo cuf ipi?
Huyo kachanganyikiwaAmesema hayo mkoani morogoro ambapo amedai kua ccm na chadema ni vyama vilivyojaa mafisadi hivyo havina uwezo wa kupambana na rushwa amesema cuf ndio chama sahihi kupinga ufisadi nchini.
ccm bHivi li pumba ni wachama gani vile ¡¿
Basi huyo mke ana hasara kubwa,jitu lisaliti saliti hivi,lipiga deal,kama angekuwa baba angu namkana aisee....Ana mke mkuu,
kahongwa ruzukuMwambie arudishe pesa za ruzuku walizopiga ......
Njaa imepona?
Arudishe kwa nani naye ndiyo cuf!sema labda awagawie na wapemba kidogo.Mwambie arudishe ruzuku ya CUF kwanza
Pro-pesa aeleze ile "rushwa" ya 369mil alipewa na nani? Pro-pesa kama ana ubavu asaidie TAKUKURU kumtambua aliyeidhinisha 369 milioni kutoka Hazina na kuishia mifukoni mwa Mwenyekiti aliyepachikwa na Msajili wa vyama.Amesema hayo mkoani morogoro ambapo amedai kua ccm na chadema ni vyama vilivyojaa mafisadi hivyo havina uwezo wa kupambana na rushwa amesema cuf ndio chama sahihi kupinga ufisadi nchini.
Ile stahili ya zamani ya kupewa pesa arafu uwatukane waliokupa pesa kiaina haiwezi fanya kazi kwa 'bwana yule' kwani hata mtoto mdogo wa chekechea anajua kuwa 'Bwana yule' keshaingizwa King.ahaaaaaaa..aaaahaaaAmesema hayo mkoani morogoro ambapo amedai kua ccm na chadema ni vyama vilivyojaa mafisadi hivyo havina uwezo wa kupambana na rushwa amesema cuf ndio chama sahihi kupinga ufisadi nchini.