Lipumba awavaa viongozi CHADEMA

Nashukuru sana mkuu uvungu kwa kung'amua kuwa uzi huu wa 2011. UKAWA imezaliwa baada ya hoja hii kutolewa. Kwa great thinker, unatakiwa kuchangia bila kukurupuka.

Sina la kusema katika hili
 
Lakini nyie viroba hebu tujadili ukweli hasa,licha ya kwamba uzi ni wa miaka iliyopita, hivi kweli mfanyabiashara kama Mbowe akipewa madaraka ufisadi utakwisha nchini?
 
Huo ndo uhalisia wa ukawa ,hao watu wamekaa kimadaraka madaraka tu ,lakina ndani ya nafsi zao ni mahasim.
 
Acha unafiki . page hii ni 2011 halafu unaleta saizi kuleta ugomvi.AIBU YAKO
 
Duuu! nimeamini siasa za Bongo ni zaidi ya siasa. Leo hii cuf &cdm wako pamoja hapo ndo nakubali kuwa siasa n mchezo mchafi.
 
Mimi nilishasema Chadema ni saccos ya wapiga deal,si mnaona sasa,hongera pro Limbuka kwa kuwaumbua
 
Wale mnaowatukana ACT mnatakiwa mjifunze kwenye huu uzi mkae mkijua tu kwamba siku viongozi wa ACT na CDM maslahi ya yakifanana msishangae mkaambiwa wameungana na mwisho wa siku aibu itakuwa juu yenu uzuri JF kumbukumbu zinatunzwa tuombe uzima tu tutakumbushana pamoja na kwamba wengi watakasirika La mhimu ni kuwa na akiba ya Maneno.
 
CHADEMA msigombane na mbwa (read CUF) gombaneni na mwenye mbwa (read CCM)

Huyu mchumi wa ajabu kabisa...yeye Tanzania ni Pangani,Kigoma,Lindi,Tabora,Tanga na Zanzibar tu....karibu Arusha uje useme utumbo wako


Msishangae hao ni tawi la sisiemu. Wameamua kuungana na wala nchi....... lakini hukumu yao inawangojea...... si muda mrefu.

Du siasa ni kazi sana
sababu Lipumba ameamua kugaragaza kabisa elimu yake kwa ajili ya siasa za namna hii



Mfa maji haachi kutapa. Naomba uongozi wa CDM kumpuuza Lipumba. Husikubali kumpa heshima asiyostahili kwa kujibu hoja zake za kipuuzi.

Chama Tawala? mbona hawana kauli yeyote katika serikali ya Znz? Hukumsikia Shein sikukuu ya mapinduzi kuwa wanatekaleza sera za CCM kwenda mbele na Maalim Seif akabaki anakodoa macho. CUF sio chama tawala ila ni hawara(concubine) wa chama Tawala.

Kweli akiba ya maneno ni muhimu.
 
Hayo ndo matatizo ya ndoa ya mkeka kati ya CCM na CUF


Nina wasi wasi na Phd yake, sidhani kama anastahili kuitwa associate professor, sasa tumegundua kumbe siyo CCM tu ndiyo adui wa waTanzania ni pamoja na na hivi vyama vya ovyo ovyo kama CUF


Mtatiro, je Zanzibar kina mama hawaendi hospitali na viwembe? Ni bara peke yake? Huo uozo wa CCM upo upande mmoja tu wa nchi hii? Anayedharau hapa ni nani?


Teh teh teh,ebwana huyo ndo prof mapumba,mlikuwa hamumjui?

Kwa kuwa Cuf na ccm ni serikali. Mi naona ni sawa CUF kuwashambulia Wapinzani. Kwa sasa ni chama tawala(ccm/cuf..tlp,nccr) Vs upinzani cdm.) wako wako sawa tu.

Kwa kuwa Cuf na ccm ni serikali. Mi naona ni sawa CUF kuwashambulia Wapinzani. Kwa sasa ni chama tawala(ccm/cuf..tlp,nccr) Vs upinzani cdm.) wako wako sawa tu.

CHADEMA msigombane na mbwa (read CUF) gombaneni na mwenye mbwa (read CCM)


Hahaha ukawa oyeee. ..
 
Please CHADEMA leadership,

"Don't argue with the fool because people may not notice the difference between you and the fool."

Get blessed.

Am real confused with this statement, when was is it made?
Am also surprised as per the agreement (unity)they just signed recently!
 
Lakini nyie viroba hebu tujadili ukweli hasa,licha ya kwamba uzi ni wa miaka iliyopita, hivi kweli mfanyabiashara kama Mbowe akipewa madaraka ufisadi utakwisha nchini?

Inategemea na ueledi wa muhusika.
Kwa mfano,Msumbiji tuliizidi mara tano kwa fedha yetu. Baada ya miaka mingi wakamchagua Armando Gwebuza ambae ni mfanyabiashara tajiri nchini humo. Leo hii niandikapo message hii pesa ya Moc,ambique ni mara5 kwa Tsh.

Naamini ni sahihi Rais awe tajiri na mfanyabiashara!
 
lete ushahidi

Hii Hotuba ya Lini? toa link kwanza kabla watu hawajachangia..


Hapa ndo utagundua wanajoiita makamanda kila kukicha hata kusoma hawawezi!! Ni kukurupuka tu!!!
 

Vipi akiwa mpiga disco?
 
ona sasa wengine ndo tumeoneshwa upeo juu ya CDM na tabia zao, kumbe ndo ivo kesho naenda kuwaonesha watu wangu na wao washuhudie ,because i used always to tell them that this political party is not the opposition party, instead they are after their interests. Now things have turned around and this is a trailer, the full movie is still loading.........
 

Kwa hiyo watu kama luwasa anafaa kuwa rais,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…