Mwaipaja ima
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 404
- 76
Ikiwa ni kweli lipumba kaongea ujinga huu bc wana cuf tuwe makini na huyu mwenyekiti wetu na ndio maana chama chetu kinazid kulud nyuma badala ya kwenda mbele
Ikiwa ni kweli lipumba kaongea ujinga huu bc wana cuf tuwe makini na huyu mwenyekiti wetu na ndio maana chama chetu kinazid kulud nyuma badala ya kwenda mbele
Inategemea na ueledi wa muhusika.
Kwa mfano,Msumbiji tuliizidi mara tano kwa fedha yetu. Baada ya miaka mingi wakamchagua Armando Gwebuza ambae ni mfanyabiashara tajiri nchini humo. Leo hii niandikapo message hii pesa ya Moc,ambique ni mara5 kwa Tsh.
Naamini ni sahihi Rais awe tajiri na mfanyabiashara!
fuatilia story ya huyo rais wa Msumbiji kwanza uijue maana sio wale Bavicha (Baraza la vichaa Chadema) wanaoambiwa na hawahoji. Huyu Rais wa Msumbiji hakuwa tajiri kabla ya kuingia kwenye siasa,ametajirika kwenye ubinafsishaji wa viwanda na mali za serikali kama ilivyo hapa kwetu na akiwa rais amekuwa na share kwenye makampuni makubwa tu nchini humo.. Hata ushindi wake kuanzia chama hadi urais ulikuwa wa mbinde kwa kutumia pesa. Sasa unatuambia nini wewe? Matajiri hawatufai katika uongozi wao waendelee na biashara zao tu